Rejeta ya compressor ya hydrauric (oil cooler)

lwidia2k

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
616
1,267
Habari za majukumu Wana FF, natumaini Ni wazima wa afya, na wale wasio sawa kiafya Mungu awafanyie wepesi.

Nirudi katika Mada, Nahitaji rejeta ya compressor machine inayotumia hydrauric au compressor oil. kwa jina lingine Wana iita oil cooler.

Compressor yangu Ni ingersoland pistoni mbili, Ni air cooling hivyo haitimii maji kupooza engine. Rejeta yake imepasuka hivyo nahitajinyingine, Ila haitimii maji Bali unatumia hydrauric au compressor oil.

Mwenye kuzijua au kuzifahamu naomba anijuze upatikanaji wake, na bei zake zikoje mpya na used.
Sample yake
View attachment 1471479View attachment 1471480
IMG_20200404_144558_8.jpg
 
Back
Top Bottom