Kinachokufa siku zote huwa ni mwili na si roho!
Haya maisha yako kama filamu.
Wafu hao walishaikamilisha mission yao duniani kwa namna yeyote ile wangekufa tu ili kupisha nafasi yao kuchukuliwa na kiumbe kingine ila kwa roho zilezile.
Naweza nisieleweke haraka iko hivi siku, saa, dk na sekunde waliyokufa wale wafu ndiyo siku viumbe wengine wapya walipata uhai.
Ikitokea mtu kafa na roho yake haijapata mahali pa kwenda basi ile roho itasumbua tu itahangaika sana hadi pale itakapopata makazi (mwili) ndipo itatulia
Kweli
Nadhani mimi sizielewi zaidi yakoKweli
Yani mimi hata zile kauli "tangulia nasi tutafuata" "njia yetu ni moja" "kila nafsi itaonja mauti".
Sizitamki na sizipendi
Uliza bhanaNigejibuje bila kusoma? Nimekubaliana tu na wewe sikutaka kukuuliza zaidi maana nitaharibu uzi. Nimekuelewa
Unachukia kifo kwakua unakuiogopa.. Kifo na kuishi vinaenda sambamba.. Ukiishi kazima ufe. Huwezi kukikwepa either unakupenda au hukipendi.Kweli
Yani mimi hata zile kauli "tangulia nasi tutafuata" "njia yetu ni moja" "kila nafsi itaonja mauti".
Sizitamki na sizipendi
Kwakua muda wao umefika.. ingekua kwa anne nae angeenda tu haijalishiWaliouliza maswali ya kwa nini Mungu aliruhusu haya kwa ANNA mtoto mdogo hawakukufuru
Inabidi maelezo ya kina yatolewe...!! Na sio kuwakumu
Why God did this for her... For what purpose then?
Nimeshauliza sana sasa naona kama nawasumbua maana siridhiki na majibu yaoUliza bhana
Huyu Mungu atujibu sasa... Tushachoka kuuliza maswali na hatupati majibu
Tunaamini yupo... Atujibu sasa kwa nini yanatokea haya
Unachukia kifo kwakua unakuiogopa.. Kifo na kuishi vinaenda sambamba.. Ukiishi kazima ufe. Huwezi kukikwepa either unakupenda au hukipendi.
Ushajiuliza kwanini wakiogopa?
Mungu sifa yake ni kutajua yote.. ila yeye hapangi kifo chako. Nature ndio inafanya kazi..Soma uhusiano kati subconscious mind na Nature vinavyofanya kaziMungu hajui wakati wa kifo chako na aina ya kifo chako!!!
Kwa MTU asiyeamini maandiko pekee ndiye atakayekubaliana na upotoshaji huu..
Ndio sio kila nafsi itaonja umauti maana kuna binaadamu wengine hawakufa kama Eliya na Henock.. Sidhani kama siku ile kuna mtu hatokufa maana ili Mungu akuhukumu inabidi uwe katika mfumo wa Roho sio mwili huu unaoharibika.. hauwezi ishi yale maisha ya MileleUkiishi sio lazima ufe na ule msemo unaosema kila nafsi itaonja mauti sio sahihi pia maana biblia inasema Mungu atakuja kuwahukumu wazima na wafu..sasa hao wazima watatoka wapi kama kila mtu akifa.?