REINCARNATION maybe is real

REINCARNATION maybe is real

Wa reincarnation wana fact kubwa sana ukiwafuatilia kuliko takataka wakristo, japo nao bado kuna maswali lukuki
Ni sawa, ila nashangaa sana kwanini wabongo tunaibua haya masuala wakati kwa nijuavyo sisi ni wakristo na waislamu hatuamini hivyo kabisa.

Allah na Yahweh hawaruhusu mtu kuzaliwa upya.
 
Kama unaamini kwamba roho au soul haipo na kila kitu tunachokiita ‘mimi’ kinatokana na ubongo na mwili tu, basi ni nini hasa kinachoendelea ndani yetu kinachotufanya tuwe na consciousness, hisia, kumbukumbu, maamuzi na ile hali ya kujitambua kwamba ‘mimi ni mimi’ na ubongo ukifa, ni nini hasa kinachofanya huyo ‘mimi’ aache kabisa kuwepo ?
Huhitaji roho/soul kuwa na consciousness. Consciousness, kumbukumbu, mawazo et zinaweza kutoka kwenye ubongo na biochemical processes zinazoendelea kwenye ubongo na mwili tu.

Dhana ya roho/soul ni ya kidini zaidi katika kuelezea kwamba tukifa mwili roho itaendelea kuwapo na kwenda mbinguni au motoni au kurudi katika reinvarnation.

Hii ni hadithi ya kidini zaidi.
 
Kaka umejibu dhana yangu kwa uhakika mkubwa sana, atae bisha anaweza thibitisha mwenyewe
Naam,

Uzuri ni kwamba sijajibu kwa ku dismiss tu.

Nimesoma Buddhism, Hinduism, nikafanya mpaka meditation Buddhist Temple na Rev. Pannasekara ni rafiki yangu. Nimesoma vitabu vyao.

Kwa hiyo si jambo ambalo nali dismiss tu.

I lived that life.
 
Naam,

Uzuri ni kwamba sijajibu kwa ku dismiss tu.

Nimesoma Buddhism, Hinduism, nikafanya mpaka meditation Buddhist Temple na Rev. Pannasekara ni rafiki yangu.

Kwa hiyo si jambo ambalo nali dismiss tu.

I lived that life.
Yah, binafsi mimi mpaka sasa ni seeker wa meditation kwa mda mrefu sna nakuelewa vizuri sna
 
Ni sawa, ila nashangaa sana kwanini wabongo tunaibua haya masuala wakati kwa nijuavyo sisi ni wakristo na waislamu hatuamini hivyo kabisa.

Allah na Yahweh hawaruhusu mtu kuzaliwa upya.
Huo Ukristo na Uislamu wenyewe umeletewa kwa meli juzi tu hapo.

Na hata kama kweli ingekuwa unavyisema, kwani watu hawaruhusiwi kujiongeza?
 
Yaani unakuta mtu ni mkristo, ila anaamini kwenye reincarnation, mara akuambie Mungu hachomi watu moto, kajitengenezea kadini mseto kake.
Usiwe brainwashed kiasi hicho don't limit your greatness ur not a f*ckin tree if you are not into it move buddy, kwasababu wewe mkristo haimaanishi umezuiliwa kuwa curious ukweli unakuja kwa obsession ya kujifunza sio kuamini ambacho umekikuta . Totally crap
 
Sure , bwashee, akili yako ipo sharp sana😅, ningependa binti yangu awe kama wewe
 
Ni ngumu kuthibitisha.

Ila katika maisha ya kawaida unaweza kutana na mtu unamuangalia unasema hii sura nilishawahi iona wapi.

Na yeye anakuangalia hivyo hivyo.

Kwenye biblia wanasema Yule nabii eliya ambaye alichukuliwa na gari mpaka mbinguni ndiye Yohana Mbatizaji , ilimpasa kuja tena ili andiko la kila nafsi itaonja mauti litimie. Hiyo haijawa confirmed ila ni dhana tu.
 
Na hata kama kweli ingekuwa unavyisema, kwani watu hawaruhusiwi kujiongeza?
Usiwe brainwashed kiasi hicho don't limit your greatness ur not a f*ckin tree if you are not into it move buddy, kwasababu wewe mkristo haimaanishi umezuiliwa kuwa curious ukweli unakuja kwa obsession ya kujifunza sio kuamini ambacho umekikuta . Totally crap
"Kujiongeza" na kudadisi ni vizuri mno. Lakini hebu fikiria; Kama ukweli unatokana na kujiongeza na kudadisi, na haupo wazi na thabiti, maana yake si kwamba huo ukweli haujapatikana bado?

Maana yake si kwamba hakuna dini inaweza kujibu kikamilifu tafakuri za maisha...
Kwanini watu hawawezi kuona hilo?

Si bora kukubali tu kuwa hakuna majibu, tuishi tu? Au ndo asili yetu binadamu kuwa wabishi wabishi?
 
Umefanya logical non sequitur fallacy.

Kwa sababu, inawezekana ukweli haujapatikana bado, lakini tukajua jibu fulani si la ukweli na ni la uongo.

Yani ni hivi, ukiwa mwanamme mwenye miaka 30 leo, usiyemjua mama yako mzazi wa kibaiolojia, unamtafuta ili umjue, halafu ukaletewa binti mchanga mwenye umri wa miezi 6 leo, ukaambiwa huyu ndiye mama yako mzazi aliyekuzaa kibaiolojia, unaweza kujua huyu si mama yako mzazi hivyo, hata kama humjui mama yako mzazi wa kibaiolojia ni nani.
 
"Kujiongeza" na kudadisi ni vizuri mno. Lakini hebu fikiria; Kama ukweli unatokana na kujiongeza na kudadisi, na haupo wazi na thabiti, maana yake si kwamba huo ukweli haujapatikana bado?

Maana yake si kwamba hakuna dini inaweza kujibu kikamilifu tafakuri za maisha...
Kwanini watu hawawezi kuona hilo?

Si bora kukubali tu kuwa hakuna majibu, tuishi tu? Au ndo asili yetu binadamu kuwa wabishi wabishi?
So you chose to wear your ignorance like a crown just because everyone else was too scared to admit theirs? Cool, boy. Stay right there. Let life expose everything your ego refuses to understand.

Okay boi 👏🏾
 
Umefanya logical non sequitur fallacy.

Kwa sababu, inawezekana ukweli haujapatikana bado, lakini tukajua jibu fulani si la ukweli na ni la uongo.

Yani ni hivi, ukiwa mwanamme mwenye miaka 30 leo, usiyemjua mama yako mzazi wa kibaiolojia, unamtafuta ili umjue, halafu ukaletewa binti mchanga mwenye umri wa miezi 6 leo, ukaambiwa huyu ndiye mama yako mzazi aliyekuzaa kibaiolojia, unaweza kujua huyu si mama yako mzazi hibyo, hata kama humjui mama yako mzazi wa kibaiolojia ni nani.
Kwa kweli. Basi mimi nimechoka tu kutafuta. Itabidi niamshe juhudi.

Ila masuala ya kiroho yananipa sana ukakasi kuyaamini.
 
Watu wengi wanaamini ukifa ndio basi tena shughuli imeishia hapo akiwemo Hawking.

Hawking alifananisha maisha ya binadamu na computer, kwamba ikifa ndio basi tena.
Newton yeye aliamini ukifa unaweza fufuliwa tena.

Sasa kwenye point ya Hawking nina swali nataka nijibiwe na wanao muunga mkono, kama computer ikifa ndio basi tena, je haiwezekani ikatengenezwa maana mtengenezaji wa mwanzo alikuwepo?
 
Back
Top Bottom