andry surlbaran
Senior Member
- Apr 13, 2011
- 166
- 20
alieileta hii thread ana lake jambo si bure! Wivu tu nyo! Mwandish kioo cha jamii, sawa wangapi wamefanya madudu? Kwenda zako
hivi angekuwa dada yako ndiye aliyejilisha uroda hadharani tena na mwanaume wa kukutana naye siku tatu tu UNGEMPONGEZA?Kweli huo ni wivu,kwani kuliwa uroda kitu cha ajabu,embu thibitisha kama dunia nzima wamemuona,mbona mi sijamuona anavyoliwa uroda?tena huyo ndio muwazi kuliko nyie mnaoliwa vichochoroni,hiyo ni human nature haizuiliki,mbona wengine usiku kucha mnajificha kuangalia movie za uroda,si bora huyu alieamua kuuonyesha umma tena bila kificho kama ni kweli kafanya hivyo.Kingine,unamuambia Mengi ili afanyeje,kwani yeye ni meneja muajiri wa EATV,alaf huyo Bhoke akishakosa kazi utapata faida gani?Acha wivu wewe!!!
wewe ungekuwa mwanamke ungeliwa uroda mpaka kwemye nyumba za ibadaalieileta hii thread ana lake jambo si bure! Wivu tu nyo! Mwandish kioo cha jamii, sawa wangapi wamefanya madudu? Kwenda zako
Alikera sana huyu dada kwa mambo aliyofanya, lakini naona tumpe pumzi huenda atajirekebisha.
........ingawa ni kweli ataharibu heshima ya EATV na kile kipindi inabidi awekwe kitengo kingine.
All in all tumuache dada wa watu atulie jamani!!
Hoja hapa si nani hajawahi kufanya kitendo cha kuzini,bali tunajaribu kuangalia position aliyonayo Bhoke kama mmoja wa kioo katika jamii na kufanya mapenzi hadharani.Kumbuka watu wana-ngonoka sana tu hata kwa dakika hii yawezekana kabisa kuna watu wanachangia hapa lakini wametoka kufanya zinaa,issue hapa ni mtu kujiweka hadharani.yaani haileti picha kabisa,hapo huwezijitofautisha na ng'ombe au mnyama yeyote yule.This is not emulating a good picture for Tanzania and their people outside, despite the fact that the laid is bragging not to re grate for her action.Mwana Jf yeyote ambaye tangu azaliwe hajawahi kuzini namwomba ajitokeze hadharani na ndie awe wa kwanza kumuhukumu Bhoke. Lakini kama unajua na wewe umeshawahi kuzini je uko tayari bosi wako akutimue kazini? Mbona mafisadi wameiba mabirioni ya fedha za watanzania lakini hawajafukuzwa kazi mpaka leo hii bado wako madarakani wanaendelea kuiteketeza nchi yetu? Ndugu wana JF acheni unafiki hivi mnafikiri kama huyo dada atafukuzwa kazi je hapo mtakuwa mmemsaidia? hapo si ndo mtakuwa mnataka kumwangamiza kabisa!! Hakuna m2 ambaye hajawahi kutenda dhami, na sijawahi kuona/kusikia mtu anafukuzwa kazi kisa tu ametenda dhambi. Chamuhimu tu huyo dada akae chini atafakari kitendo alichokifanya kisha atubu kwa Mwenyezi Mungu kwani yeye ndie mwenye mamlaka ya kusamehe.
wewe ungekuwa mwanamke ungeliwa uroda mpaka kwemye nyumba za ibada
..mbona hueleweki mkuu, mara unaunga mkono ghafla tena unapinga, simamia point moja ueleweke.Mwana Jf yeyote ambaye tangu azaliwe hajawahi kuzini namwomba ajitokeze hadharani na ndie awe wa kwanza kumuhukumu Bhoke. Lakini kama unajua na wewe umeshawahi kuzini je uko tayari bosi wako akutimue kazini? Mbona mafisadi wameiba mabirioni ya fedha za watanzania lakini hawajafukuzwa kazi mpaka leo hii bado wako madarakani wanaendelea kuiteketeza nchi yetu? Ndugu wana JF acheni unafiki hivi mnafikiri kama huyo dada atafukuzwa kazi je hapo mtakuwa mmemsaidia? hapo si ndo mtakuwa mnataka kumwangamiza kabisa!! Hakuna m2 ambaye hajawahi kutenda dhami, na sijawahi kuona/kusikia mtu anafukuzwa kazi kisa tu ametenda dhambi. Chamuhimu tu huyo dada akae chini atafakari kitendo alichokifanya kisha atubu kwa Mwenyezi Mungu kwani yeye ndie mwenye mamlaka ya kusamehe.
Mwana Jf yeyote ambaye tangu azaliwe hajawahi kuzini namwomba ajitokeze hadharani na ndie awe wa kwanza kumuhukumu Bhoke. Lakini kama unajua na wewe umeshawahi kuzini je uko tayari bosi wako akutimue kazini? Mbona mafisadi wameiba mabirioni ya fedha za watanzania lakini hawajafukuzwa kazi mpaka leo hii bado wako madarakani wanaendelea kuiteketeza nchi yetu? Ndugu wana JF acheni unafiki hivi mnafikiri kama huyo dada atafukuzwa kazi je hapo mtakuwa mmemsaidia? hapo si ndo mtakuwa mnataka kumwangamiza kabisa!! Hakuna m2 ambaye hajawahi kutenda dhami, na sijawahi kuona/kusikia mtu anafukuzwa kazi kisa tu ametenda dhambi. Chamuhimu tu huyo dada akae chini atafakari kitendo alichokifanya kisha atubu kwa Mwenyezi Mungu kwani yeye ndie mwenye mamlaka ya kusamehe.
Bujibuji kichwa chako ako na crack!wivu unakukerereketa. Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe.
amezungumzia jamii hajazungumzia nafsi yake pekee na niukweli mtupu.kwani lazima kuangalia eatv au kumuangalia bhoke we una vipindi kibao eatv angalia urizike..
Bhoke,Bhoke,,Bhoke
si maadili ya Kitanzania
Amelidhalilisha sana Taifa
Ikiwa Bhoke atarudi/ataendelea na kibarua chake pale EATv itaongeza kasi ya mmomonyoko wa maadili kwa wabinti hasa wa sekondari ambao ni wapenzi sana wa hiki kipindi.
Hivi utaliwaje uroda dunia nzima ukikutazama???????
Tena na mwanaume uliyekutana nae kipindi kisichozidi hata wiki???
ONYO: MENGI REGINALD tunakuomba umwondoe binti huyu Bhoke aende popote atakapo ili kulinda hadhi ya Eatv au tuipotezee EATv