Reginald Mengi sikia hilli, sio kwamba tunakufundisha kazi

Status
Not open for further replies.

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,273
7,121
Bhoke,Bhoke,,Bhoke
si maadili ya Kitanzania
Amelidhalilisha sana Taifa

Ikiwa Bhoke atarudi/ataendelea na kibarua chake pale EATv itaongeza kasi ya mmomonyoko wa maadili kwa wabinti hasa wa sekondari ambao ni wapenzi sana wa hiki kipindi.

Hivi utaliwaje uroda dunia nzima ukikutazama???????
Tena na mwanaume uliyekutana nae kipindi kisichozidi hata wiki???

ONYO: MENGI REGINALD tunakuomba umwondoe binti huyu Bhoke aende popote atakapo ili kulinda hadhi ya Eatv au tuipotezee EATv
 
kwa hiyo natamani na mimi niliwe uroda dunia ikishuhudia??
it seems huna wadogo wa kike ndio maana huoni madhara ya bhoke kurudi Eatv
Kweli huo ni wivu,kwani kuliwa uroda kitu cha ajabu,embu thibitisha kama dunia nzima wamemuona,mbona mi sijamuona anavyoliwa uroda?tena huyo ndio muwazi kuliko nyie mnaoliwa vichochoroni,hiyo ni human nature haizuiliki,mbona wengine usiku kucha mnajificha kuangalia movie za uroda,si bora huyu alieamua kuuonyesha umma tena bila kificho kama ni kweli kafanya hivyo.Kingine,unamuambia Mengi ili afanyeje,kwani yeye ni meneja muajiri wa EATV,alaf huyo Bhoke akishakosa kazi utapata faida gani?Acha wivu wewe!!!
 
kafanya kitu kibaya
uroda si issue issue ni kuliwa adharan

ailet picha nzur ikiwa yeye ana inflluence kubwa kwa awa watoto wanaochipukia

amweke depatment ambayo HATAONEKANA luningani....

japo kdg angeonyesha kukerwa lakin yey ahh anaona yap wat i did is gud n ok...

usista duu mwngne wa kipumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ..kujifanya wamjin,wauzungun kumbe mjinga wa mwsho
 
Mzee ndo shemeji yetu nini?

Au umenogewa na ile miguno ya kwenye BBA aliyokuwa akifanya?

Niliona kama pale kwenye Jacuzzi alitoa jicho dogo pale.
Alikera sana huyu dada kwa mambo aliyofanya, lakini naona tumpe pumzi huenda atajirekebisha.
........ingawa ni kweli ataharibu heshima ya EATV na kile kipindi inabidi awekwe kitengo kingine.
All in all tumuache dada wa watu atulie jamani!!
 
Kweli huo ni wivu,kwani kuliwa uroda kitu cha ajabu,embu thibitisha kama dunia nzima wamemuona,mbona mi sijamuona anavyoliwa uroda?tena huyo ndio muwazi kuliko nyie mnaoliwa vichochoroni,hiyo ni human nature haizuiliki,mbona wengine usiku kucha mnajificha kuangalia movie za uroda,si bora huyu alieamua kuuonyesha umma tena bila kificho kama ni kweli kafanya hivyo.Kingine,unamuambia Mengi ili afanyeje,kwani yeye ni meneja muajiri wa EATV,alaf huyo Bhoke akishakosa kazi utapata faida gani?Acha wivu wewe!!!
aache wivu upi mbona hamueleweki ? kitendo alichofanya bhoke hata wema sepetu asingefanya huyu dada hafai kukaa mbele za watu tukamsikiliza ni vema akahamishwa kitengo apelekwe upande wa radio , binafsi nikitazama kipindi chochote EATV na nikakutana na hicho kidada kinatangaza hapo hapo ntabadilisha channel . katutia aibu kubwa harafu mijitu inatetea humu.
 
Ukitaka kumjua mtu kama malaya angalia vitendo vyake, nadhani huyu Bhoke, tumejua ni mtu wa aina gani inawezekana hata kupata kazi EA TV kaonga ngono. sisi ndio tulikuwa bado atujajua kama Bhoke anapenda ngono, tatizo ni malezi na makuzi aliyopata kutoka kwa wazazi wake
 
Mwana Jf yeyote ambaye tangu azaliwe hajawahi kuzini namwomba ajitokeze hadharani na ndie awe wa kwanza kumuhukumu Bhoke. Lakini kama unajua na wewe umeshawahi kuzini je uko tayari bosi wako akutimue kazini? Mbona mafisadi wameiba mabirioni ya fedha za watanzania lakini hawajafukuzwa kazi mpaka leo hii bado wako madarakani wanaendelea kuiteketeza nchi yetu? Ndugu wana JF acheni unafiki hivi mnafikiri kama huyo dada atafukuzwa kazi je hapo mtakuwa mmemsaidia? hapo si ndo mtakuwa mnataka kumwangamiza kabisa!! Hakuna m2 ambaye hajawahi kutenda dhami, na sijawahi kuona/kusikia mtu anafukuzwa kazi kisa tu ametenda dhambi. Chamuhimu tu huyo dada akae chini atafakari kitendo alichokifanya kisha atubu kwa Mwenyezi Mungu kwani yeye ndie mwenye mamlaka ya kusamehe.
 
Napingana na wewe kwa 100%. Kumbuka mwandishi ni kioo cha jamii! Hata wewe mwenyewe fikiria, unatune tv yako inatokea -mage ya Bhoke, utakuwa na fikra gan? Anaweza akatoa ushauri wowote ukamsikiliza?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom