utandawazi
Member
- Oct 1, 2015
- 96
- 16
Azam inaelekea kuwa mshindani mkuu wa itv, mzee Mengi achukue maoni ya wadau hapa ili afanye maboresho ya kuifanya itv iwe ya kisasa zaidi.
Nakuandikia waraka huu kwa kutambua kuwa kituo cha luninga cha Itv ndicho kinachoangaliwa na idadi kubwa ya wananchi.
Kwa sasa kituo hiki kinachukuliwa kama luninga ya Taifa baada ya ile ya Taifa kushindwa kutimiza wajibu wake kwa jamii na kujipambanua kama luninga ya ccm.
Kinachonisukuma kukuandikia waraka huu ni kukuomba uwekeze ktk kuimarisha kituo hiki kwa vifaa vya teknolojia ya kisasa na wataalam.
Inaniuma kuona Itv ikishindwa kurusha matangazo ya moja kwa moja kama inavyoonekana leo ktk matangazo ya kampeni ya Ukawa huko Mbeya.
Matangazo yanakatika hii ikiwa ni ishara ya kukosekana uwekezaji wa kutosha. Kituo hiki kina umri mkubwa na hata studio zake hazifanani na umri wake.
MZEE MENGI inaonyesha ameridhika sana na hizi tuzo za "super brand" nashauri apate DESA la CITIZEN YA KENYA,Wako vizuri na watangazaji wanawajibika na wako very presentable,pia wapewe uhuru kuliko kubanwa na utashi wa mmiliki katika kutekeleza majukumu yao,
Kaendekeza Upoti yule Mzee!
Nchi hii ITV, ni wakongwe ktk tasnia ya habari luningani.. hakuna kituo cha kushindana na ITV, hata wakiwa na quality mbovu kiasi gani ya picha! Walishajijengea jina, na kuaminika, ndio maana watu hawaachi kuwatizama kila leo!
AZAM TV, watasubiri sana, fanya research ujue ni watanzania wangapi wanaangalia AZAM tv, then ndio ulinganishe na ITV. Azam tv uwalinganishe na Channel 10...
Mmesahau kuwa ITV NA EATV ndio vituo bora vya luninga East Africa (Super brand) kwa miaka mitatu mfululizo. Sasa cjui nyie mnatumia nn kuanalysi hili jambo. Kukatika kwa matangazo, hata CNN, BBC, SKY NEWS, n.k huwa zinakatika kutegemeana na hali ya hewa.
Pamoja na yote hayo, ITV boresheni huduma zenu.

Kwa kuwa kituo hiki bado ni tegemeo kubwa kwa watanzania ni vyema juhudi za makusudi zikafanyika kukiimarisha ikiwa ni pamoja na kununua kamera za HD. Nawasilisha tafadhali.
Hapana, ITV imezidiwa na AZAM kwa sasa, sema Azam watu wengi hawaipati hewani kwa kuwa hayupo kwenye visimbuz kama Star times. Ni ombi kwa Azam Media moja ya TV zake za habari basi aiweke kule Startimes ili ateke soko zaidi. Asiweke zile za michezo, aweke ile ya habari itamsaidia sana!
wengi wanaoangalia ni kutoka kskz sikiliza matangazo ya vifo radio ONE
Hakuna biashara anayoweza huyu mzee,yeye not sifa tuu vikao ktk mahotel na kumwalika rais.bla bla nyingi sii mtendaji kama bakhresaNakuandikia waraka huu kwa kutambua kuwa kituo cha luninga cha Itv ndicho kinachoangaliwa na idadi kubwa ya wananchi.