Mkwawa
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 1,334
- 1,466
Reginald MengiWanasiasa msisahau mabega yaliyowafikisha hapo juu mlipo. Siku moja mtayahitaji tena ili mshuke salama.Wengi mnasahau mlikotoka
Source Facebook wall ya Mengi
Reginald MengiHuyu mzee naye mimi siku hizi sitaki hata kumuona tangu alazimishe eti yeye apewe vitaru vya gesi yeye binafsi badala ya watanzania wote nilimtoa thamani kabisa.
Nina wasiwasi wewe utakuwa Prof wetu anayeongea hovyo kuhusu gesi yetu. Kwa mtanzania Wa kawaida hawezi akakubaliana na Prof Muhongo..
Huyu mzee naye mimi siku hizi sitaki hata kumuona tangu alazimishe eti yeye apewe vitaru vya gesi yeye binafsi badala ya watanzania wote nilimtoa thamani kabisa.
Acheni kupakazia watu. Aliyekuambia Dogo Mengi ni mzee ni nani ? Hapo alipo hana mvi wala mjukuu ana watoto hata nursery hawajaanza. Acha kutusi watu.

Mzee Mengi hakusema anataka apewe vitalu vya gesi yeye. Unapotosha ukweli makusudi kwa faida ya waliokutuma ama unauelewa finyu.
Huyu mzee naye mimi siku hizi sitaki hata kumuona tangu alazimishe eti yeye apewe vitaru vya gesi yeye binafsi badala ya watanzania wote nilimtoa thamani kabisa.
Mabega maana yake ni WANANCHI waliowachagua viongozi