Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,663 Reaction score 167,596 Oct 26, 2013 #41 Kumbe hii serikali Ina mashabiki wake.... Aibu Sana kushabikia serikali legelege
kituma12 JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 301 Reaction score 122 Oct 26, 2013 #42 nadhani hayo ni majibu ya mengi kwa waziri kuwa hakuna watz wenyeuwezo wa kuwekeza kwenye gesi, pesa bwana ni sabuni ya roho hadj mr. president anamsifia
nadhani hayo ni majibu ya mengi kwa waziri kuwa hakuna watz wenyeuwezo wa kuwekeza kwenye gesi, pesa bwana ni sabuni ya roho hadj mr. president anamsifia
Rihana JF-Expert Member Joined Apr 26, 2013 Posts 498 Reaction score 250 Oct 27, 2013 #43 Kigogo said: Majizi haya Click to expand... hahahahahahhahahahahahhh mkuu hahahahhahahahahahahahha
jMali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 8,412 Reaction score 5,013 Oct 27, 2013 #44 Matunyengule said: Ni kawaida ya freemason. Secret societies ni kawaida yao kwenye masuala ya kijamii. Click to expand... kama ufreemason wenyewe ni kusomesha watoto basi kheri tu
Matunyengule said: Ni kawaida ya freemason. Secret societies ni kawaida yao kwenye masuala ya kijamii. Click to expand... kama ufreemason wenyewe ni kusomesha watoto basi kheri tu
H hans79 JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 3,800 Reaction score 431 Oct 27, 2013 #45 Ritz said: Hongera Mengi.[/QUOTE Kwa lipi dhambi 1 kuificha nyingine? Click to expand...
H hans79 JF-Expert Member Joined May 4, 2011 Posts 3,800 Reaction score 431 Oct 27, 2013 #46 Ben Saanane said: Nampongeza mzee Mengi kwa moyo wake wa kujitolea kwa mali halali Click to expand... Sawa ila ngumu kidogo kwa upande wa pili hasa kwa wafanyakazi wake mafao, niliwahi kukutana nae kuhusu issue 1 ngumu kidogo kuiweka wazi.
Ben Saanane said: Nampongeza mzee Mengi kwa moyo wake wa kujitolea kwa mali halali Click to expand... Sawa ila ngumu kidogo kwa upande wa pili hasa kwa wafanyakazi wake mafao, niliwahi kukutana nae kuhusu issue 1 ngumu kidogo kuiweka wazi.
C calmdowndear JF-Expert Member Joined Jul 12, 2011 Posts 605 Reaction score 275 Aug 9, 2016 #47 Dah those were the days