polymer0108
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 123
- 22
Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA
Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"
Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"
Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu
Itv mnaonyesha habari halisi za UKAWA saa 12 asubuhi, mnaogopaga nini?!
Tafadhali mfano ya mda huu ambayo wananchi walikua kwenye mkutano wa ccm baada ya kuona wa mgombea mwenza wa UKAWA anapita, wakaondoka wote kwenda kulala barabarani wakitaka aongee chochote, muirudie saa 2 usiku.
Ni kweli kabisa, kama Chadema walitaka ushindi wangetumia sanam ya Lowasa kwenye Jukwaa watu wakamwamini kama sanam ya bikira Maria, kuliko ambavyo kila siku ubora wake unashhuka kila siku mara azomewe au ashindwe kupanda ngazi mpaka apewe tanganyika jeki.
Dr.Slaa Ameshasema tusichangue Rais kwa ushabiki kumchagua Lowasa ni sawa na kumchagua kikwete. wote wahuni wahuni tu (rip Mwl Nyerere).
Hivi kweli mtu na akili yako unaweza kumchagua kiongozi kwa sababu eti tu wanasapotiwa na anti Ezekiel na Ray!! Yaan machangudoa wakuinfluence wewe kuchagua kiongozi!! Mleta thread una matatizo ya akili
Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA
Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa. Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"
Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature. Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"
Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu
Wewe M4C unajua nini wakati 4U Movement imeshatoa maelekezo kuwa M4C wote mkajiunge na Red Brigade na muwaachie swala la strategy wao??Tulia dawa ikuingie acha kuweweseka, mwaka huu ni Lowasa tu!
Jombaa...Lowassa atabaki kuwa rais wa UKAWA...na hata hivyo, baada ya 28 October, atatoka kuwa rais wa UKAWA kuwa katibu mkuu msaidizi wa Chadema.Mengi ana kura moja tu, hana impact katika mawazo ya watz wanaotaka mabadiliko.Mwaka huu maccm mtakuja na kila aina ya viroja ili kujipunguzia maumivu.Lowasa ndiye rais wenu