Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

Status
Not open for further replies.

Mariswaga

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
201
Reaction score
2
Tangu mbio za Urais zianze kushika kasi mkurugenzi wa IPP Media ndugu Regnald Mengi alionekana wazi wazi kuiunga mkono timu ya UKAWA

Ghafla Mkurugenzi huyo ameamua kujitoa kwenye timu hiyo baada ya kuona anapoteza nguvu zake wakati ana uhakika wa 100% kuwa Magufuli ndiye Rais wa awamu ya tano. Mengi amesema haoni faida ya kupoteza muda wake kumuunga mkono mtu mwenye uhakika wa kushindwa.

Mengi amekubali wazi kuwa ushindi wa kiti cha Urais 2015 ni wa Magufuli... "kama hawa jamaa watashinda nafasi ya Urais basi ni baada ya miaka 10 siyo hivi sasa, huu mwaka ushindi utakuwa wa Magufuli tu tutake tusitake"

Pigo kubwa kama hilo limeambatana na kuondoka kwa wasanii mbalimbali waliotimkia kambi ya Ndugu Magufuli akiwemo Aunt Ezekiel, Ray na Juma Nature.

Mshirika wake mkuu Hussein Bashe nae amejiweka pembeni na kuutangazia umma kuwa "ili wananchi wawe salama ni lazima kiti cha urais kikabidhiwe kwenye mikono salama, kinyume chake wananchi hawatokuwa salama, na mikono salama ni ya ndugu Magufuli tu"

Mwaka wa kufa nyani miti yote huteleza, EDO keshaanza kufa na miti yake pia imeanza kuteleza taratibu

=======================================

Update; 11 0ct 2015

Habari hii imekanushwa kwenye hii thread=>Reginald Mengi akanusha Uzushi wa habari iliyosema, "Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

 
Unaweweseka,hayo malori ndo yatapiga kura?? Watu hao hao mnazunguka nao kila kona,mnawahutubia jimbo hili leo,kesho watu hao hao jimbo lingine,watu wameamka
 
Acha kutumia jina la mama yako vibaya na baba yako mkubwa muke ya mzungu
 
Wanaoondoka ukawa ni wachache kuliko wanaoingia ukawa!ushindi ni lazima octoba 25
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom