Mama Regina Lowassa; Kama Ukawa ikajaaliwa wakaingia madarakani, basi haki za mwanamke zitazingatiwa vizuri sana
kwa umri huu nayajua matatizo mengi ya wanawake maana taifa lina rasili mali nyingi sana
SWALI; Je unadhani serikali mpya inaweza kutatua haya matatizo tuliyoyazoea
JIBU. MAMA LOWASAA; Anasema haya ndio tunayosasema, na haya matatizo yanaweza kutatuliwa kwa kweli
MAMA REGINA LOWASSA; Nasema wamama watoke wakapige kura, sisi wamama kwa wingi wetu tunaweza badili maisha yetu, kura yako ndio maisha yao, ya mtoto wako, na wajukuu wako. Kura ni haki yako. Tanzania iko huru kila mtu anaruhusiwa kwenda kupiga kura,
Mama regina lowassa-geita; anasema kwanini tukose barabara hapa na tuko na madini yotee.. Kwanini hamsomewi mapato na matumizi.. Kwanini hatuulizi pesa zinakwenda wapi?? Siku zoote wanapita hapa kwanini hatuwaulizi kwanini hatuna barabara nzuri
wanawake ni jeshi kubwa ,mama lowassa anawakilisha wanawake wapenda amani na maendeleo .namuunga mkono katika swala hili ya kuwaunganisha na kuwakumbusha wanawake matatizo wanayopitia ni kutokana na mifumo mibovu ya utawala wa ccm kwa miaka 54. eeh mwenyezi Mungu tujalie kuondokana na matatizo ya afya za uzazi,kero za maji na maisha magumu .