Regina Lowassa: First Lady Mtarajiwa

Napendekeza First Lady na team yake sasa waanze kukata anga na wafike kila kijiji cha nchi hii hasa akianza na Dodoma, Singida, Manyara na Umasaini kote.
 
First lady mtarajiwa? wa nchi gani? naomba kufahamishwa plz
 
Amekomaaa ndiiiii piya hakuna furahaa ndani nymba kama mwanaune hakubali kuwa kazeeeka akaw achezee na wajukuuu'lowasssa pumzikeni
 

Anachukua kura nyingi sana za kina mama.
 
Watanzania tutajutia sana kama tusipompeleka huyu mama Ikulu.... Kwa miaka 10 WAMA haijafanya lolote zaidi ya kupiga pesa za wafadhili wa ulaya...

Safari hii tupeleke firts lady atakayeweza kuungana na wanawake wenzake katika mapambano ya maendeleo

She is truly a leader.
 
Labda mumpeleke kwenye ikulu ya chifu mangungo
 

Ndoa si kipimo cha rais bora. mbona kuna marais wa nchi kubwa duniani lkn hawajawahi hata kuoa na wala hawana mpango na nchi zao bado zina maendeleo makubwa. Usidanganye watu bhana!
 
Ndoa si kipimo cha rais bora. mbona kuna marais wa nchi kubwa duniani lkn hawajawahi hata kuoa na wala hawana mpango na nchi zao bado zina maendeleo makubwa. Usidanganye watu bhana!

una umri gani!? unaelewa nini? tunaongelea Tanzania sio inchi kubwa hyo unayoisemea! unadhani ni kwann mkapa alifanya alivyofanya kabla ya kuingia ikulu..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…