Regina Lowassa amewapoteza makada maarufu wa CHADEMA?

Regina Lowassa amewapoteza makada maarufu wa CHADEMA?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,405
Reaction score
31,912
Sasa naona Regina Lowassa amekuwa maarufu kuliko CHADEMA! Hawa ni baadhi ya makamanda waliofunikwa na Mama Regina;

Mwenyekiti

Tundu lissu

Mnyika

Mwalimu

Kagaila

Mdee

Wenje

Lema

Kigaila

Patrobas

Msigwa

Wengine nitaongezea...!

NGOMA YA KITOTO MWISHO SAA KUMI NA MBILI.
 
Kwani unachotaka ni nini hasa jingalao. Ukiona kampeni za regina unatafuta ndimu ama. Fahamu kampeni za ukawa ni za kipekee hatupotezi muda kama kina mr chin kuleta kampeni za kina mwigulu humu
 
Hao mkuu maji ya Shingo majimboni.walikaa bungeni kupiga domo badala ya kuwaletea Maendeleo wananchi Wao.harudi hata mmoja hapo.
 
Akili ndogo hushangiliwa na akili ndogo. Nyinyi ndio msiotaka tz ibadilike au baba zetu ni mabalozi wa nyumba 10 nini
 
Magufuli alifundishwa uchumi na Marehemu KIGODA, Muda mchache kabla ya kifo, kupitia simu ya mkononi.
 
Mnyika yuko busy twitter na wagombea udiwani sijui hataki kuja kuhukumiwa!
Msigwa analia eti amelogwa!
4U, Ulipo tupo vimemeza BAVICHA
Mama Lowassa amekua yeye ndio BAWACHA!
 
Janet LOWASSA ndio nani? Do you mean REGINA LOWASSA? kweli mmeshikwa pabaya!
 
Sasa naona Regina lowassa amekuwa maarufu kuliko Chadema!

Hawa ni baadhi ya makamanda waliofunikwa na Mama Regina.

Mwenyekiti

Tundu lissu

Mnyika

Mwalimu

Kagaila

Mdee

Wenje

Lema

Kigaila

Patrobas

Msigwa


Wengine nitaongezea...!

NGOMA YA KITOTO MWISHO SAA KUMINAMBILI.

makamba ashaanza kupuliza mavuvuzela yake?
We jingalao kweli who is Janeth Lowassa.
 
Hajawafunika but nafasi take ya u first lady inambeba
 
Magufuli alifundishwa uchumi na Marehemu KIGODA, Muda mchache kabla ya kifo, kupitia simu ya mkononi.


Nimemsikiliza huyu magufuli eti aliongea na kigoda wakati anapelekwa ICU kweli?mtu uko mahututi unawezaje kutumia simu na kutuma email? sijui ni kufilisika au!!""!
 
Back
Top Bottom