UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
Mtukufu asitegemeevukinzi wa Askari wa Kagàme tu, atembee na matank ya hewa kabisa, hata hewa anayovuta haiko salama.
Ni kuongeza ajira tuKusema kweli kwa teknologia iliyopo sasa, hawa wakubwa wanaojiona wana ulinzi wa bunduki zinazowazingira kila upande ni kujilinda na warusha tope tu mitaani.
Huko USA kwa weupe mnaowaona kama Mungu kwa kuendekeza mifumo yao (usiongelee misaada maana hata wao wenyewe mioyoni mwao wanajua wanastahili kutusaidia maana walichangia na wanaendeleza kiushusha Africa kimaendeleo kwa wizi wa kalamu) Donald Trump anakutana na kina Kanye West Hotelini kwake tena kwa vikao maalumu kabisa. ... sioni tatizo hapo ndugu as akinya bata kaharisha ila ukinya wewe umetoa haja kubwa. .. these are double standards of its kindKuna mpigaji mmoja hatari sana anatokea kanda ya ziwa. Masafara wake unafikia hotelini kwake na unalipiwa na treasurer.
Donald Trump alikua tajiri kabla hajawa rais, nieleze mali alizochuma katika miaka mitatu ya Urais wake.Huko USA kwa weupe mnaowaona kama Mungu kwa kuendekeza mifumo yao (usiongelee misaada maana hata wao wenyewe mioyoni mwao wanajua wanastahili kutusaidia maana walichangia na wanaendeleza kiushusha Africa kimaendeleo kwa wizi wa kalamu) Donald Trump anakutana na kina Kanye West Hotelini kwake tena kwa vikao maalumu kabisa. ... sioni tatizo hapo ndugu as akinya bata kaharisha ila ukinya wewe umetoa haja kubwa. .. these are double standards of its kind
Sidhani kama ile Chevrolet ya security ilitengenezwa Rwanda.Mtukufu asitegemee ulinzi wa Askari wa Kagàme tu, atembee na matank ya hewa kabisa, hata hewa anayovuta haiko salama.
Wale washika bunduki wametengenezwa RwandaSidhani kama ile Chevrolet ya security ilitengenezwa Rwanda.
Si unaona sasa bado unarudi pale pale, Hotel wanazo watu hapa Tanzania ambao hawajafika darasa la saba sembuse mtu kawa mbunge toka enzi za mwalimu? Bado kawa waziri, mbona kina sugu term mbili tu wanamahoteli? Unashangaa nn sasa hapo?Donald Trump slikua tajiri kabla hajawa rais, nieleze mali alizochuma katika miaka mitatu ya Urais wake.
Huku kwetu hata walala hoi wamezuiwa kuvua samaki Ziwa Victoria kisa kigogo snafungua kiwanda cha minofu ya samaki.
Wale washika bunduki wametengenezwa Rwanda
Donald Trump slikua tajiri kabla hajawa rais, nieleze mali alizochuma katika miaka mitatu ya Urais wake.
Huku kwetu hata walala hoi wamezuiwa kuvua samaki Ziwa Victoria kisa kigogo snafungua kiwanda cha minofu ya samaki.
Sure mkuu, tena kwa kizazi hiki cha kwenye smartphonestukitawaliwa kimabavu itakuwa rahisi kwa ngamia kupenya tundu la sindano kuliko kuurudisha tena uhuru kiduchu tulionao sasaPoyoyo!ninawasiwasi sana tungetawaliwa na wakoloni miaka hii tusingeweza kujikomboa hata kidogo!!!MTU anaamini sana wazungu waje wamkomboe mmmmh
PointBox la kura ndo limeshakataliwa, mawakala wanakataliwa kuingia vyumba vya kupiga kura adharani
Lakini hili hata Trump analifanya, sisemi sio kosa. Nafahamu ni conflict of interest, lakini inachekesha kwamba anayekwambia usijikojolee yeye kajiharishia. Mi naona Viongozi wote majizi tu yakipata nafasi.Kuna mpigaji mmoja hatari sana anatokea kanda ya ziwa. Masafara wake unafikia hotelini kwake na unalipiwa na treasurer.
Siungi mkono mapinduzi ila nitaunga mkono mabadiliko kupitia box la kura.
Kumbe!Kuna mpigaji mmoja hatari sana anatokea kanda ya ziwa. Masafara wake unafikia hotelini kwake na unalipiwa na treasurer.
Merry Christmas kakaKumbe?