Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Utasubiri sana na hiyo regime change yako! Chapa Kazi kuwategemea wazungu utakufa masikini hakuna hapa duniani nchi imeendelea kwa kuwategemea wazungu! Wezi tu hao!Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"
Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu
Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?
Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Unajisifu kuwekewa kiongozi na wageni? Au sijakuelewa?Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"
Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu
Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?
Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Box la kura ndo limeshakataliwa, mawakala wanakataliwa kuingia vyumba vya kupiga kura adharaniSiungi mkono mapinduzi ila nitaunga mkono mabadiliko kupitia box la kura.
Hawakushindwa,Vijana wa "ulipo tupo" bado hamkubari kuwa mlishindwa uchaguzi wa 2015.
Msipoteze muda jipangeni kwa 2020.
Unakunywa banana wewe sio bure maana we kila kitu kwako unachukulia simple tuMarekan kumuondoa Rais reckless kma Magu ni vyepesi sana. Yan wanaexpose tu mahovu yake. Wananch wanavimba, dunia nzima inavimba na kumdindia. Bac anatoka na akileta ubishi anatoka kwa kipigo cha mbwa koko.
UONGO.Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani.
Upuuzi tu JPM hadi 2025Watanzania wenzangu. Kwa yeyote mwenye uelewa aliyesoma waraka wa Senators wa Marekani, bila shaka watakubaliana na mimi kuhusu ujumbe ndani ya ule waraka. Senators kwa lugea nyingine wamezungumzia regime change " Yaani mabadiliko ya Uongozi uilio madarakani"
Hakuna siku hata moja Mmarekani au Jumuiya ya Ulaya wakazungumzia regime change wakashindwa. Urusi walimuondoa Gorbachev. Venezuela walimuondoa Hugo Chavez aliyemtukana Busha hadharani. Zimbabwe wamemuondoa Mugabe,Gbagbo, Rais wa Gambia, Afrika Kusini Mkaburu, Libya Ghadaffi. Nicolae Ceausescu, Noriega, Charles Taylor, Slobodan Milocevich......Listi ni ndefu. Haha watt wakipuania wamekupania, hata ulindwe na majeshi toka mbinguni watakuondoa tu
Hawa watu wana mbinu nyingi sana, siyo kuvamia ikulu, bali wanatumia mbinu nyingi sana za kijasusi zingine tusizielewe. Naona Tanzania tunaelekea kwenye Regime Change. Swali la kujiuliza, je wataweza kumuondoa Rais Magufuli?
Haya ni mazazo yangu, mwenye wazu tofauti tujuzane, ila dawa hapa ni kupiga reverse kwenye mambo yaliyotajwa na diplomasia ya hali ya juu. Vinginevyo jamaa anakwenda na maji
Kuna mpigaji mmoja hatari sana anatokea kanda ya ziwa. Masafara wake unafikia hotelini kwake na unalipiwa na treasurer.Wapigaji Tanzania walikuwa wengi kiasi kwamba ikawa ni Tabia ambayo ni kama ngozi sasa, nasikia vilio kila kona ya mji baada ya Dr. Kuanza kuzichuna hizo ngozi sasa, ushahidi ni comments nyingi za hapo juu, bado kuzibanika tu nyama zenu kabisa tule ndafu. Mtasubiri sana na madua ya kuku kwa mwewe na bado mtanyakuliwa