Mh. Regia wengi mmemuelezea hapa na kuonyesha jinsi mnavyo mkubali. Nami namkubali vivyo hivyo na zaidi ya yote sijawahi kutana nae hata siku moja. Lakini kwa dhati kabisa huyu dada Mh. ndani ya wiki moja iliyopita amenipa msaada mkubwa sana kwa mzazi wangu tena kwa kutumia pesa zake kunifanyia huo msaada bila kujali kama ningeweza kumrudishia pesa zake au la!
Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru kwa jambo ilo na hata nilipofanikiwa kuongea nae, nilimwambia asante kwa msaada huu mkubwa na Mungu amuongee zaidi na zaidi.
Mh. Regia asante sana kwa msaada na Mama yangu (kule Lindi) ameshukuru sana kwa huduma uliyomsaidia.
Nikifika Dar nitakuja Makao Makuu kuja kukusalimia.
Kaka tuwahimize dada zetu kuwania ubunge wa kuchaguliwa hii habari ya viti maalum ni kuendeleza kuwafanya wajione duni.
Ukweli ni kwamba women can make very good leaders, baadhi ya wanawake wanaoonyesha udhaifu wa kiuongozi kama ilivyo ktk baraza la JK pengine ni kwa sababu nafasi wamezipata kama shukrani zaidi na sio uwezo.
Ukimsikiliza Jenister Mhagama (ingawa simjui sana) unaona umahili wa kuongoza ndani yake pengine tu yeye hajatoa ambacho wenzake hutoa ili kulipwa cheo.
Kwa sehemu kubwa wanawake ndio wameifikisha Tanzania ilipo sasa maana wao wameendelea kuwa wapiga kura wazuri lakini wakichagua mijibaba yenye uroho kama wa fisi si kwa mali za nchi tu bali uroho kwa wanawake pia.
Viongozi wenye uthubutu kama Regy wameonyesha njia (ingawa kura zilichakachuliwa).
Dada Regia watendee wana Kilombero kana kwamba wewe ni mbunge wao wa kuchaguliwa na Mungu ataendelea kukuinua
Nawashukuru wote kwa comments zenu.Nimezipokea kwa mikono miwili.
Ila kwa bahati mbaya comments zote ziko upande wa positive tu,nahitaji pia na zile nyingine ili niumbike upya.I like both positive and negative criticism ili wakati mwingine nijue na mapungufu yangu.Naona wanaonifahamu wamefagia tu. Tunajengana.
Aluta Continua
nadhani mnataka kuwatoa KIRANGA na NYANI NGABU machimboni,
Nawashukuru wote kwa comments zenu.Nimezipokea kwa mikono miwili.
Ila kwa bahati mbaya comments zote ziko upande wa positive tu,nahitaji pia na zile nyingine ili niumbike upya.I like both positive and negative criticism ili wakati mwingine nijue na mapungufu yangu.Naona wanaonifahamu wamefagia tu. Tunajengana.
Aluta Continua
Mh. Regia wengi mmemuelezea hapa na kuonyesha jinsi mnavyo mkubali. Nami namkubali vivyo hivyo na zaidi ya yote sijawahi kutana nae hata siku moja. Lakini kwa dhati kabisa huyu dada Mh. ndani ya wiki moja iliyopita amenipa msaada mkubwa sana kwa mzazi wangu tena kwa kutumia pesa zake kunifanyia huo msaada bila kujali kama ningeweza kumrudishia pesa zake au la!
Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru kwa jambo ilo na hata nilipofanikiwa kuongea nae, nilimwambia asante kwa msaada huu mkubwa na Mungu amuongee zaidi na zaidi.
Mh. Regia asante sana kwa msaada na Mama yangu (kule Lindi) ameshukuru sana kwa huduma uliyomsaidia.
Nikifika Dar nitakuja Makao Makuu kuja kukusalimia.
Mada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika
Keep it up Regia,you are a reflection of how good leaders should be
Asante Speaker.Can I know you?
Mhe. Ingekuwa vizuri kama utamcheck kwa PM, Mhe. Regia, kumbuka ombi langu la kipindi kile, bado msimamo wangu uko pale pale.
..Mhusika lakini ni Mwanasiasa..Mbunge-in relation to her society. Nafikiri ungeelewa zaidi.Ni mtazamo tu nafikiriMada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika
This is amazing....Kama kawaida yake,kumbe hata kwa asiowafahamu.Ngoja nami nifuate nyayo zake.