REGGAE MUSIC Special Thread

REGGAE MUSIC Special Thread

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,985
Reaction score
189,557
Habari kwa wakuu wote na wapenzi wa mziki wa reggae.
Lengo la uzi huu ni kukutatisha nakukusanya nyimbo zote na vionjo ya mapigo/mdundo wa reggae.

Hapa nitaanza kwa kuweka nyimbo za mziki wa reggae japo ni msikilizaji mkubwa sana msanii luckydube. Maana kuna nyimbo nyingi na za wasanii wakubwa wengi wanaofanya vizuri mtaendelea kuongeza hapo chini.

Ili kwa wapenzi wa reggae wanaopita wasitoke mikono mitupu kwenye kusikiliza mziki huu.
Ukiachana na zile ambazo zimehit ila kwa upande wangu hizi huwa nazielewa sana kwa msanii (luckydube)


Luckydube - the other side

Luckydube - i got you babe

Luckydube - way it is

Luckydube - its not easy

Luckydube - house of exile

Luckydube - Soldier

Luckydube - Freedom

Luckydube - The fugitive

Luckydube - Crazy world


Luckydube - Back to My Roots

Luckydube - Trinity

Luckydube - Affirmative

Luckydube - Prison

Luckydube - Remember Me


Karibuni kuongeza zaidi samahani kwa kuandika haraka haraka hii ni list ambayo nimeweka fasta nikitulia nitaongeza zaidi.
 
Who the cape fit.......King of reggae Bob marley
1.Coming in from the cold
2.Stiff necked fool.
3.real situation
4.war.
5.bad card.
6.revolution.
7.is this love.
8.natural mystic.
9.could you beloved.
10.stop that train.Peter.tosh
.11.tell I a truth senzo......
Acha kabisa......nipo nyumbanii nsha maliza zamu kimlinda jpm. Naskilizaaa vtu hivi.

Ooooooo bongo flavour cjui nni hata verse moja sjui.
R.I.P.
BOB
TOSH.
JOHN HILL
SENZO.
PHILOPO DUBE AND ALL.JAH PEOPLE
 
Bob Marley
1.Natural mystic
2.Man to man
3.Zimbabwe
4.Satisfy my soul
5.Kinky reggae (babylon by bus album)
6.Waiting in vain
7.Positive vibration(babylon by bus album)

Lucky Dube
1.Its not easy
2.Love me the way i am
3.Big boys don't cry
4.Different color

Mixa
1.Addis ababa - Culture
2.Identity- burning spear
3.Marijuana- Richie spice
4.Ganja planter- marlon asher
5.Who feels it knows it- Romain virgo
6.Tarrus riley - Miles away

......Dah zipo nyingi mno
 
Lucky phillip Dude (Lucky dube) remembered.

To mark 10 years since his death.

Lucky dube was killed on 18 October 2007.
ed741ba3f8eb81f6d3a5dd7cf994252c.jpg
 
Reggae huwa inanipa punguzo la stress za life. Huwa inakuja peace nikiwa naskiza hizi ngoma zenye ujumbe wa uhalisia. Na ndio maana ukiskiza Reggae kama itakuwa nyimbo ya mapenzi basi hawa jamaa walikuwa na maneno ya kihisia kabisa kabisa. Yaani unaona kabisa love iko karibu ya macho yako haswaa.
Ukija kwenye ngoma zinazohusu maisha yetu yenye kujawa unyama, shida, maradhi dah hawa masela walikuwa wanafunguka mpaka basi, ukifanya masihara unaweza kutokwa na machozi. Vp kuhusu nyimbo za iman kwa mungu dah yaani noma ni kama vile unaweza ukaanza kukesha makanisani ulale hukohuko.
Kuna ngoma huwa zinanipa mizuka kama vile,;
Holly Place - senzo
I'll be there - senzo
Private beach party - Gregory isaacs
Night nurse - greogory
Mr cop- gregory
The way it is - lucky
How will i know - lucky
Hands that giveth- lucky
Red wine - ub 40
Kingstone town -ub40
Stir it up -bob
Buffalo soldier (bob unaweza kuweka zote maana si mchezo)
Mjomba Alpha blondy na ngoma zake kama sweet fantadialo naikubali sana
Make we dweet - burning
Sweet lalala .- inner circle
Kwa kifupi manyimbo mengi nikianza kutiririka hapa basi tutakesha.
Chamsingi kama hebu nisaidieni kujua kifo cha huyu bw SENZO huwa najribu kujua mambo mengi ya huyu mwamba maana kuna vitu navikosa kuhusu yeye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom