R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 40,414 74,059 Jan 16, 2021 #1 Nimeona Referred ana Repeat, zinamaanisha nini?
Abou Saydou JF-Expert Member Dec 1, 2014 2,947 2,104 Jan 16, 2021 #2 Referred means atarudia darasa Repeat means amerudia darasa na amefanya huo mtihani kwa mara ya pili..... Yaani 2019 alifeli akarudia form two 2020. Kinachonitatiza mtu ana D 2 tu halafu anaenda kidato cha 3 hivi miaka ya nyuma ilikua je?
Referred means atarudia darasa Repeat means amerudia darasa na amefanya huo mtihani kwa mara ya pili..... Yaani 2019 alifeli akarudia form two 2020. Kinachonitatiza mtu ana D 2 tu halafu anaenda kidato cha 3 hivi miaka ya nyuma ilikua je?
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,559 142,333 Jan 16, 2021 #3 Natumae umepata muongozo... Cc: mahondaw