Referred and Repeat zinamaanisha nini katika mitihani ya Taifa ya kidato cha pili!

Referred means atarudia darasa
Repeat means amerudia darasa na amefanya huo mtihani kwa mara ya pili..... Yaani 2019 alifeli akarudia form two 2020.

Kinachonitatiza mtu ana D 2 tu halafu anaenda kidato cha 3 hivi miaka ya nyuma ilikua je?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom