Kama YANGA tu
Kumbe upo mkuu? Umetafutwa sana kipinda cha Kagame kapu bila mafanikio, yaani hawakubahatika "kukutia machoni" hapa JF.
Kaka maneno hayo!!! Yatakuponza
Ni maneno au au maudhui yake kaka? hayo ni maneno ya kawaida tu ya kiswahili yenye maana ya kuwa hawakukuona yaani "they missed you" during that time of Kagame cup tournaments kwa kiingilishi ambacho nina imani ndo unakifahamu zaidi. Kaa humo.