Refa aliyeibeba Azam kwenye mechi yao na Mtibwa asimamishwa

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
Bi Mdada aliyechezesha mechi ya Mtibwa Sugar na Azam FC ameondolewa rasmi kuchezesha michuano hiyo.
source: EFM

.
refa.jpg
 
Ila jambo walilo fanya hawa wadau wa soka sio la kiugwana. Wangetakiwa kumpa onyo then wakimpa mchezo mwingine akiboronga ndo wangefanya hivy co maamuz ya gafl hivo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Aliwanyima mtibwa ushindi. Akajipange upya. Muro naye aache dharau kuwaita AZAM mbeleko fc.
 
amepewa haki ya kujieleza?
Kujieleleza nini mkuu hapo? Gori limefungwa wewe umelikataa na hata yule laini 1 alipaswa nayeye asepeshwe maana yale aliyasababisha yeye kuweka offside wakati mtu hakuzidi
 
Ni kweli Azam kwa sasa inamapungufu makubwa mno hasa katikati,si hivyo tu, hii timu itawakilisha Nchi.wanatakiwa wajipange sana,kwa hali hii watatudhalilisha.Pia marefa wanaoibeba Yanga na kuihujumu simba nao wafungiwe maana wanaua soka letu.
 
Ni kweli Azam kwa sasa inamapungufu makubwa mno hasa katikati,si hivyo tu, hii timu itawakilisha Nchi.wanatakiwa wajipange sana,kwa hali hii watatudhalilisha.Pia marefa wanaoibeba Yanga na kuihujumu simba nao wafungiwe maana wanaua soka letu.
upo sahihi kabisa mkuu
 
Young Africa ndio wanaoua soka la tanzania maana ujuaji n mwng mno kuliko vitendo, kuanzia wachezaj viongoz mpk na mashabik wao…
 
mnafanya

judgement kwa mechi moja ya mapinduzi jameni!!!!! Azam inaongoza ligi kwa margin ya pointi mbili na ana kiporo cha mechi moja ...kkuvuja kwa pakacha sio mwisho wa biashara

Viporo vya VPL kwa Makontena FC vimeisha ,kila timu imecheza mechi 13 ,,,,,sijui wewe upo wapi huna hiyo taarifa?
 
Back
Top Bottom