Redundancy inanikumba, naombeni ushauri jamani

naija-lojja

Senior Member
May 13, 2017
163
64
Poleni na kazi wadau,
Mimi nilisoma certificate katika chuo cha uhasibu kilichopo Ukonga (ACOM) na nikajiunga na diploma hapo hapo na nikamaliza na matokeo yalipotoka nilipata Overall ya 2.6 GPA sasa nilitaka kuapply nikasome chuo kikuu mwaka huu ila kila ninapoenda wanataka minimum GPA ya 3.0 ..

Yaani hapa nimechanganyikiwa kwani hapa kazini mimi ndo niliyekuwa nina diploma peke yangu nilitaka nikajiendeleze kwani nimesikia tetesi kwamba yawezekana kukatokea redundancy hapa officin... Naomba ushauri wadau.
 
Angalia pia uwezekano wa kufanya RPL kama fani yako ina hiyo option. Cheki TCU na Mzumbe University.
 
Mawili. Upige mtihan wa six kama private candidate ili upate marks za kuingia chuo. Usome diploma upya ufikie gpa ya 3.0 uingie chuo
 
Back
Top Bottom