Redmi Note 12

Redmi Note 12

Kwa 500k,simu ipi ni nzuri ukizingatia camera,kukaa na chaji na display
Hii redmi note 12, ina Amoled display, processor ya kisasa isiotumia umeme mwingi hivyo itakaa na chaji, Camera hatujajua bado tusubiri reviews.
 
Kwa bei yake sidhani kama utapata simu yenye Amoled display, 120Hz refresh rate, 5000mAh na SD 4 gen 1
 
Simu ya kwanza kutoka na Sd 4 Gen 1 ni Iqoo Z6 lite bei around laki 4 ila haina Amoled, hii Redmi note 12 ni $189 aliexpress around 440,000. Pengine mpaka zikija Avechi na Tigo bei ikawa chini zaidi.
 
Ivi wakuu mbona Redmi note 11E pro 5G bei ni kitonga sna ? Via AliExpress ni around 422,000 to 424,000.

Kwa variaty ya 6, 128.

Ila ni Global ROM

Je 5G band ina support bongo?

Kuna mtu ashawahi kuiagiza tusije ingia cha kike
 
Bei ya kawaida mkuu sio kitonga, A13 5G na simu nyingi lowend zina hio soc. Utamiss mambo mengi ukichukua hii Badala ya Note 12, Amoled display, 120hz refresh rate, Soc ya kisasa Sd 4 gen 1 ambayo inakaa sana na charge etc.
 
Mkuu hii ni SD 695

Na nimejaribu kuangalia review zake ipo slightly better than 4 Gen 1.

Ni midrange SOC
Bei ya kawaida mkuu sio kitonga, A13 5G na simu nyingi lowend zina hio soc. Utamiss mambo mengi ukichukua hii Badala ya Note 12, Amoled display, 120hz refresh rate, Soc ya kisasa Sd 4 gen 1 ambayo inakaa sana na charge etc.
 
But ingawa target yangu ni Note 12 global version naisubiria official release

Nadhani ni 5 to 8 January inakua release India
Bei ya kawaida mkuu sio kitonga, A13 5G na simu nyingi lowend zina hio soc. Utamiss mambo mengi ukichukua hii Badala ya Note 12, Amoled display, 120hz refresh rate, Soc ya kisasa Sd 4 gen 1 ambayo inakaa sana na charge etc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom