penitentiaries
Member
- Jun 15, 2015
- 73
- 9
- Thread starter
- #21
Karibu sana JF
Asante sana ila ukae ukijua jf kitambo toka sekondari
Karibu sana JF
Very true ulichokisemaMystery-Spot on:Hata humu JF mambo ni yale yale.Sijaelewa kwa nini Watanzania wengi tunapenda hizo habari za udaku na hasa masuala ya mapenzi.Angalia Threads humu zinazohusu Udaku wa Kingono,comments hadi pomon,lakini member akiweka thread nzuri inayohusu mambo ya msingi ya Mtanzania hah wapi wachangiaje wachahce sana.Hicho hicho ndicho kinatokea kwenye redio,magazeti,TV,nk.!
Where have we gone wrong mkuu au tuanze na hapa Jf MMU nayo jmn?Very true ulichokisema
Yawezekana ukawa na mawazo mazuri ila uwasilishaji wako...hasa pale mwanzo umeonesha kutokujiamini.
kwanza radio stations zote zinafanaa vipindi asubuh wote magazetini
hahahaaa...hatar!
Tatizo wabongo mmezoea kuropoka tu uchumi wa Uingereza ndiyo unaendesha BBC... Watangazaji wa redio hizo wanalipwa vyema kabisa.... Uchumi wa German unaendesha Deutch Welle..... Jiulize uchumi wa Tz unaendesha TBc je kuna nini huko????? Sio sahihi kuchanganya mambo haya..... Kwa upande wa redio zipo zinazojitahidi kama RFA kuanzia alfajiri saa 11 wanakamua Sana jaribu kusikiliza ila kubwa kuna uwekezaji mdogo kwa wanahabari hasa kuwafanya wawe na mambo mengi ya kuwaelimisha raia..... Serikali na wamiliki wa media Ndio wa kuwalaumu ingawa kwa Kiasi fulani wapo Watangazaji makanjanja ambao sijui wanakula maharage ya wapiii..... Binafsi nawapongeza RFA kuanzia 11....pia redio one baadhi ya nyakati na hata clouds fm Kiasi chake
kumbe ni wivu unakusumbua!!? Sasa mada yako hapa ni nini? Kuhusu tbc au umaarufu wa lara 1 na heaven on earth?
dah! 'junior member' bwana! :a s-coffee:
kama sijaheshimu!heshimu mawazo ya mchangiaji..
Hata huu uzi sidhani kama utazidi kurasa mbili!!Mystery-Spot on:Hata humu JF mambo ni yale yale.Sijaelewa kwa nini Watanzania wengi tunapenda hizo habari za udaku na hasa masuala ya mapenzi.Angalia Threads humu zinazohusu Udaku wa Kingono,comments hadi pomon,lakini member akiweka thread nzuri inayohusu mambo ya msingi ya Mtanzania hah wapi wachangiaje wachahce sana.Hicho hicho ndicho kinatokea kwenye redio,magazeti,TV,nk.!