Redio Yetu imeanza kuisha betri

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,663
Reaction score
167,596
Redio yetu imeanza kuisha betri na ule muziki uliokuwa umepata air play ya kufa mtu hausikiki tena.

Nlikuwa naupenda sana muziki huo unaitwa Bunduki na Pingu ulikoimbwa na jerry Muro akishirikiana na Kova.
 
Ah ah ah mm wala sikutaka hata kufatilia thread za muro tena,boring
 
tatizo la redio za kichina ndio hilo
 
he!! duniani bado kuna watu wanasikiliza redio zenye kutumia batri??? nunua charger!
 
ukipenda kusikiliza radio za namna hiyo hautakawia kuwashwa masikio na kupata ugonjwa wa ??????????
 
It's a seven days issue to news men no matter what and that is that..
 
Saa hizi ndio betri hata ukiazianika juani hazishtui hata spika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…