Redio ya Kagasheki yarusha'live'kesi mahakamani

KAUDO

Senior Member
Aug 10, 2011
138
67
Watangazaji wa redio ya Kasibante inayomilikiwa na Balozi Khamis Kagasheki wamechezea sharubu za Simba baada ya kuendesha mada iliyojadili kesi inayoendelea mahakamani na kuruhusu wasikilizaji watoe maoni.

Meneja wa Redio Emmanuel Mbaule tayari ametumiwa hati ya kuitwa mahakamani kwa kuingilia uhuru wa mahakama na pia alikuwa mwendeshaji wa kipindi hicho.

Kesi iko mahakama ya mwanzo Bukoba.Namba ya kesi na aina ya shauri lililojadiliwa redioni navihifadhi kwa muda kwa sababu muhimu.
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,570
25,260

kama vipi tutajie bana ni kesi gani hiyo, inaihusu jamuhuri dhidi ya nani? au hujui mipaka ya kutujuza kimahakama.
 
utantambua

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,367
319
Mbona ulaya na marekani kesi zilizoko mahakamani hujadiliwa na public kwa mapana kabisa. What's so special with african courts?
 
Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,445
2,479
bado sheria zetu ni za kizamani,kesi ikiwa mahakama inasikizwa na hakimu au jaji na yeye ndio anatakiwa kutoa hukumu baada ya kusikiza pande zote 2 yaan mdai na mdaiwa au jamhuri na mshtakiwa na kwa kuangalia vielelezo vilivowasalishwa mahakamani, hakimu hapaswi kusikiza ushahidi we nje ya mahakama kama wa vyombo vya habari, suala la vyombo vya habari kuingilia kesi haipo kwani hata kama wakijadili nje ya hapo ni wao na sio uamuzi wa hakimu au jaji, ni kwlei kwa nchi ze ruksa kujadili haina shida.
 
Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
892
mKUU kama ungetuliza akili kidogo tu ungeona majibu ya maswali yako kwenye post ya kwanza kabisa.

Mkuu Mwita, ata wewe ukingetuliza akili kunijibu, imeandikwa Redio ya kasibante inayomilikiwa na Balozi Khamis Kagasheki.
Unadhani wote tunaishi Bukoba? Toa ufafanuzi Kasibante ni mji au kitongoji au nini?
 
RasJah

JF-Expert Member
Nov 5, 2009
703
64
HAKO KA REDIO KANASIKIKA MWISHO KAMACHUMU NDIO MWISHO WA COVERAGE SASA KELELE ZANINi
 
utantambua

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,367
319
bado sheria zetu ni za kizamani,kesi ikiwa mahakama inasikizwa na hakimu au jaji na yeye ndio anatakiwa kutoa hukumu baada ya kusikiza pande zote 2 yaan mdai na mdaiwa au jamhuri na mshtakiwa na kwa kuangalia vielelezo vilivowasalishwa mahakamani, hakimu hapaswi kusikiza ushahidi we nje ya mahakama kama wa vyombo vya habari, suala la vyombo vya habari kuingilia kesi haipo kwani hata kama wakijadili nje ya hapo ni wao na sio uamuzi wa hakimu au jaji, ni kwlei kwa nchi ze ruksa kujadili haina shida.

Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,531
kwa hesabu za haraka haraka magamba wanamiliki media kibao tu kama sahara communication ni ya magamba,radio ya kahama fm ni ya magamba duu hawa jamaa..
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom