Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,362
- 26,943
Shambani juma hili;Umenikumbusha na huu:-
Kiswahili lugha ya Taifa,
Kiswahili lugha ya Taifa,
Na mikoani aaaah kiswahili chatumika,
Na visiwani aaaah kiswahili chatumika,
mchezo wa mama na mwana ulikuwa na uhalisia sana mafunzo, hii wanaiya bongo muvi haina uhalisia huku mahudhui ni mpenzi tu.Shambani juma hili;
Mama na mwana;
Kipindi cha Rushwa--- 'tuambie yuko wapi, anafanya nini,....
mchezo wa mama na mwana ulikuwa na uhalisia sana mafunzo, hii wanaiya bongo muvi haina uhalisia huku mahudhui ni mpenzi tu.
Nilikuwaga nakasirika sana, nilikuwa nakipenda sana hiki kipindi lakini kilikuwa kinaanza muda ambao ndio tunatoka kwenda kanisani, unakasirika hadi basi"Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini leo tunawapa pole*2" Ajuaye bwana Mungu kuwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole*2"
Kiitikio;
Kipindi chenu kinawapa pole wote tunawapa pole, Mungu awajalieni pole*
Huo ni wimbo maarufu ambao ulikuwa ukifungua kipindi cha wagonjwa RTD kuanzia saa 4:02 asubuhi siku ya Jumapili mtunzi na muimbaji wa wimbo huo ni marehemu OMARY KUNGUBAYA ambayekifo chake kumetokea tarehe 20 Oct 2016.
Kwa ufupi mzee Kungubaya Alizaliwa 1939 ktk kijiji cha Vigolegole, Morogoro na kuanza muziki 1955 akiwa na miaka 16 ktk bendi ya Cuban Marimba chini yake Salumu Abdallah Yazidu"SAY" mzee Omary Kungubaya aliweza kuimba na kupiga vema gitaa la galatone lenye nyuzi 6, mwaka 1960 aliweza kwenda nchini Kenya kusomea muziki na hatimaye 1961 alirejea Moro na kujiunga na Kilosa Jazz akiwa sambamba na akina Yahya Abbas na Abel Balthazar
Unanikumbusha kisa maarufu cha "VASELISA" tena kale kakipande "VASELISA MPENZI" hakijanitoka kwa kumbukumbu.mchezo wa mama na mwana ulikuwa na uhalisia sana mafunzo, hii wanaiya bongo muvi haina uhalisia huku mahudhui ni mpenzi tu.
Sometimes am just wondering wenye hizi sauti, where are they now? Wanaishi maisha gani na wanafanya nini? 😌😌...
Mama na Mwana siku ya Jumamosi saa 8 mchana. Enzi hizo tunatega madrasa ili tusikilize hadithi.Shambani juma hili;
Mama na mwana;
Kipindi cha Rushwa--- 'tuambie yuko wapi, anafanya nini,....
Shambani... Shambani"Wakati umewadia wa salamu za wagonjwa hospitalini leo tunawapa pole*2" Ajuaye bwana Mungu kuwa mzima kuwa mfu mgonjwa kuwa salama leo tunawapa pole*2"
Kiitikio;
Kipindi chenu kinawapa pole wote tunawapa pole, Mungu awajalieni pole*
Huo ni wimbo maarufu ambao ulikuwa ukifungua kipindi cha wagonjwa RTD kuanzia saa 4:02 asubuhi siku ya Jumapili mtunzi na muimbaji wa wimbo huo ni marehemu OMARY KUNGUBAYA ambayekifo chake kumetokea tarehe 20 Oct 2016.
Kwa ufupi mzee Kungubaya Alizaliwa 1939 ktk kijiji cha Vigolegole, Morogoro na kuanza muziki 1955 akiwa na miaka 16 ktk bendi ya Cuban Marimba chini yake Salumu Abdallah Yazidu"SAY" mzee Omary Kungubaya aliweza kuimba na kupiga vema gitaa la galatone lenye nyuzi 6, mwaka 1960 aliweza kwenda nchini Kenya kusomea muziki na hatimaye 1961 alirejea Moro na kujiunga na Kilosa Jazz akiwa sambamba na akina Yahya Abbas na Abel Balthazar
Kukumbuka kipindi kile ndio inadhihirika kuwa binadamu ana uwezo wa kufurahi na kuelimika kwa vitu vyepesi tu kama vikitumika kwa usahihi.mchezo wa mama na mwana ulikuwa na uhalisia sana mafunzo, hii wanaiya bongo muvi haina uhalisia huku mahudhui ni mpenzi tu.
my wishes ila ndio ishapita hiyo, wengi wameishia maisha mabaya, walikuwa wazee wa totoz sana"mama zetu" ndio walikuwa madem zao; wakaishia umaskiniSometimes am just wondering wenye hizi sauti, where are they now? Wanaishi maisha gani na wanafanya nini? 😌😌...
Maisha bana, nafsi ikiguswa you just wish yale maisha yarudi tena, hata kama yalikuwa magumu ila utoto raha sana....
Unanikumbusha mbali sana, hapo wanachambua zao moja , wadudu wanaoshambulia, dawa, yani mtu unaiva sasa hivi ukifungua redio UNAKUTANA NA MWIJAKU na Zembwela wanafanya mizaha na mambo ya upinde wa mvua.Shambani... Shambani
Shambani... Shambani
Shambani... Shambani
Mazao bora shambaaani
Haya twendeni Shambani
Wananchi tukalime
Tusikae mitaani... taani
wanawake kwa waume... waume