Redio punguzeni matangazo

Mi hakuna tangazo linalonikera kama la Joti la mzee Mwalubadu

Hilo Hilo jamaa ndo wanalitwanga Zaid ya mara 15...... Sasa hiv nimeshawajulia wakianza matangazo nabadili frequency nasubir dk 15 zikiisha nakuta ndo wanamalizia.
 
Clouds imezidi matangazo nilishajaribu kueleza hili kwenye ukurasa wao watafute mbinu mbadala serious inaondoa hamu ya kuendelea kusikiliza esp pale ambapo habari iko hot wanakatisha na kuweka tangazo
 
Wewe kusikiliza radio zao unalipia kiasi gani kwa mwezi? Mbona king'amuzi unalipa. Naona na radio nao wawe na utaratibu wa kulipia kwa wale wanaotaka kusikiliza
 
Hayo matango ndiyo "yanawaweka mjini".

Wakiyapunguza tu, "Watakatwa...."
 

Wewe nawe ----- sana.Pamoja na kwa ulimkashfu, amekujibu kiungwana.Ya nini tena uporomoshe matusi?Kıchwa chako kimejaa makamasi badala ya ubongo.
 

Mie huwa napita tu! lakini huyu jamaa ni boya sana!
 
Walivyo na akili za ajabu wanaendelea kuutumia uzi huu kama sehemu ya kupata mlisho nyuma (feedback) kuhusu usikiizwaji wa matangazo yao. kwamba hilo tangazo la mtandao unaopotea linachukuliwaje na wasikilizaji. Tuhamie kwenye simu
 
Mimi nasikiliza Radio 1 nako hali si shwari, kipindi cha BBC mara utasikia mwarubadu! gosh... nahama fasta
 
Walivyo na akili za ajabu wanaendelea kuutumia uzi huu kama sehemu ya kupata mlisho nyuma (feedback) kuhusu usikiizwaji wa matangazo yao. kwamba hilo tangazo la mtandao unaopotea linachukuliwaje na wasikilizaji. Tuhamie kwenye simu

duh! mlisho nyuma au mrejesho? na ni kina nani hao wanapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…