Sawa mkuu asante kwa kukushukuru pia,,hizi redio zinagonga ngoma sana ,,hasa hii 103.3,,inapiga za nje tu, kwa sisi tusiopenda miziki ya mondi na kiba,hizi ndio redio za kusikiliza
Na mimi jumapili ya leo wamenipata, tangu kumi mbili asubuhi napata mziki wa Mwambao Asilia, taarabu za zamani Asilia, za kutuliza Roho, sio za kisasa za kurusha Roho.