juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Inaitwaje?Haya haya,kwa wale wote ambao mnapenda muziki basi kuna redio mpya hapa Dar,ukiachilia 103.3 ambayo wanapiga ngoma bila matangazo tena ngoma kali,basi ipo hii nyingine 98.5 ni hatari ,maana wanapiga old school hatari za miziki ya aina zote kasoro taarabu...haya kwa wale wenzangu na mimi wapenda muziki hizo hapo redio za kijanja
Sasa mkuu unapromote radio bila kuhitaja jina.Haya haya,kwa wale wote ambao mnapenda muziki basi kuna redio mpya hapa Dar,ukiachilia 103.3 ambayo wanapiga ngoma bila matangazo tena ngoma kali,basi ipo hii nyingine 98.5 ni hatari ,maana wanapiga old school hatari za miziki ya aina zote kasoro taarabu...haya kwa wale wenzangu na mimi wapenda muziki hizo hapo redio za kijanja
AM 24 FMInaitwaje?
Mkuu hii redio haina jinaInaitwaje?
Nilikuwa siijui ila nasikia inaitwa AM 24 fm
hapo sasa.........Na sio wa mikoani tutaipataje?
Na sio wa mikoani tutaipataje?
Kuna utofautRedio ni kuskiliza mziki pekee?? Si uweke flash?? Tunaskiliza redio utape info
Sent using Jamii Forums mobile app