Hiyo TV E inapatikana kwenye king'amuzi gani jombaa?E FM ndo habari ya mjini pamoja na TV E.
Umetumwa na Clouds!? Na hapo bado hawajaingia Mikoani na hawana hata miaka miwili. Qwi Qwi Qwi.... Efm wana ipelekea Clouds Moto wa hataree.Habri wanaJF,
Redio ya E-Fm imekuwa ikitoa taarifa ambazo sasa zimethibitika kuwa ni za kupikwa zinazoonyesha kuwa wao ndio wanawasikilizaji wengi kuliko vyombo vingine kwa jiji la Dar es Salaam.
Hatukatai watu wa E-Fm wanafanya sana kazi. Sasa wajuvi wa mambo wamezama ndani na kuibuka na ukweli wenyewe;
Hii ni taarifa ya kupikwa ya E-Fm Redio,
Na hizi ndio data za kutoka kwenye source za ndani,
Mleta mada kaleta data nusu. E FM wametoa data ya wiki zima wakati mleta mada kaleta data ya siku mbili tu.Thatha mleta mada, umetumia kigezo gani kusema ulizoleta za ukweli na za wenzako zilipikwa!