Redio bila internet

Redio bila internet

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
1,036
Reaction score
2,240
Aseeh wakuu naomben anaefaham namna naweza sikiliza redio bila kutumia data yaan ni app ip inaweza kufanya hivyo
 
Aseeh wakuu naomben anaefaham namna naweza sikiliza redio bila kutumia data yaan ni app ip inaweza kufanya hivyo
Haipo mkuu hapo ni sawa ya kutaka kugeuza gari itembee kwa maji lazima ubadiri na engine na mambo mengine redio isiyotumia data ni hardware issue
 
Mkuu kwani simu yako haina redio?

Chomeka earphone tu unakula free bila data.
 
Jaribu next radio, kama simu yako inauwezo wa kupokea mawimbi lakini haina default radio app basi itafanya kazi
 
Yaaan kweny simu yangu hakuna kabisa app ya redio
 
Aseeh wakuu naomben anaefaham namna naweza sikiliza redio bila kutumia data yaan ni app ip inaweza kufanya hivyo
Aseeh wakuu naomben anaefaham namna naweza sikiliza redio bila kutumia data yaan ni app ip inaweza kufanya hivyo
Download App Ya Next Radio, Inafanya Kazi Kwa Hizo Cm Zisizokua Na Pre Installed Fm Radio App, Inaoptions Zote 2, Online Na Offline Radio.
 
Kweli tunatofautiana mie huwa natamani kusikiliza hata DW Swahili mchana au jioni lakini nakosa muds.
 
Aseeh wakuu naomben anaefaham namna naweza sikiliza redio bila kutumia data yaan ni app ip inaweza kufanya hivyo

Download TuneIn inatumia data kidogo sana unasikiliza redio zote duniani ambazo zina stream online bila kutumia headset
 
acha ujinga, iyo app haitawezafanya kazi offline mpaka simu iwe na fm receiver chip,

hii ni hardware , sio kila simu ina iyo fm rec. chip,
Alaf Siku Nyingne Uache Upimbi Wa Kunitukana, Sasa Wew Kwa Akili Zako Za Ufala Unafikiri Hiyo Samsung S8 Haina Hiyo Receiver?
 
Tutubirie mwenye simu alete mrejesho. Ni vigumu sana kukuta simu ina Hardware ya Radio halafu isije na software yake. Kwani watakuwa wameiweka hardware ya kazi gani?.

Microsoft walitoa Lumia zikiwa na windows 8.0 na redio ilikuwa inafanya kazi, baadae wakaupdate kwenda 8.1 na radio ilikuwa inafanya. Walipotoa update ya Win 10 , wakaondoa application ya Redio lakini ukitumia third party application ilikuwa inafanya.

Sasa kwa samsung sijaona kitu kama hiki labda mwenye ushahidi alete hapa kwamba simu inakuja na stock Rom bila Application ya Redio, na wakati
simu inakuja na Receiver Hardware
 
Back
Top Bottom