Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Wanaogopa matokeo yatakavyokuwa!
Sasa hizo safari luluki za JK zina manufaa gani? Na yule mama Clinton alikuja kutukebehi tu hapa?Watasema hakuna pesa wala wadhamini na wahisani
Sasa hizo safari luluki za JK zina manufaa gani? Na yule mama Clinton alikuja kutukebehi tu hapa?
Haaaa haaaa! Utasikia wanatoa matokeo ya "hali ya kisiasa nchini!"Ukitaka tafit za risech subiri mwishoni mwa 2014 na mwaka 2015
Haaaa haaaa! Utasikia wanatoa matokeo ya "hali ya kisiasa nchini!"
Iko kibiashara zaidi mkuu!
Kama unataka wakufanyie utafiti waite tuu wako huru mradi una mifeza.
Mi nilidhani walikuwa wakifanya tafiti zile kama sehemu ya kukuza demokrasia nchini.Iko kibiashara zaidi mkuu!
Kama unataka wakufanyie utafiti waite tuu wako huru mradi una mifeza.
Mi nilidhani walikuwa wakifanya tafiti zile kama sehemu ya kukuza demokrasia nchini.
kama wako kibiashara, ni nani alikuwa akiwalipa kufanya tafiti zile za awali?
Alaaa, kumbe. Let me take it from hereMara ya kwanza walikuwa wakitumia hela ya wafadhili. Wafadhili walipogundua kuwa taasisi hiyo imebadilika kiutendaji kutoka taasisi ya utafiti na kufanya kazi kama taasisi ya propaganda za kisiasa ya CCM, kuanzia mwakajana wafadhili wamesimamisha misaada yao. Sasa hivi hawana fedha, na siamini kama CCM au serikali inaweza kuwapa. Nadhani baada ya muda si mrefu itakuwa ni historia tu kuwa kulikuwepo na taasisi moja iliyokuwa ikiongozwa na Prof. Mkandara akisaidiwa na kilaza mnafiki Bana, mwanzoni ilifanikiwa kuwadanganya wafadhili lakini baadaye -------