Redet mwaka 2015 iko rikizo ?

kamuhabwa2002

Senior Member
Aug 9, 2015
158
43
Ndugu nisaidieni Huyu Mkurugenzi wa Redet Dr Bana mwaka huu mbona hajatuletea utafiti umeonyesha nn kati ya Magufuri na Lowasa ?
 
Atakuwa ameshindwa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake, mambo yakienda sawa ataleta utabiri wake.
 
Ndugu nisaidieni Huyu Mkurugenzi wa Redet Dr Bana mwaka huu mbona hajatuletea utafiti umeonyesha nn kati ya Magufuri na Lowasa ?

Mkuu Bana ni kada wa ccm ktk hali hii ya kimbunga na mafuriko ya lowasa unategemea atatunga cd gani ilkubalike kwa watanzania?
 
Vile vile Bana ameshasoma alama za nyakati kuwa lowasa inawezekana akashinda uchaguzi na kuingia madarakani hivyo kuendelea kubeza lowasa kunaweza kukampotezea kibarua,anatumia akili kuliko tbc
 
Jamani kama mnakipenda kibarua cha Bana safari hii tumwache tu mana hatatoa matokeo ya tafiti
 
Kila mtu adi mtoto mdogo anajuwa 1+1=?
Sasa utafiti wa nini tena!
Lowassa alipo tupo we ulisha wahi kuona wapi iyo tangu kuzaliwa hapa Tanzania jamaa akishuka tu sehemu yoyote bila tarifa lazima mafuriko ya watu yaibuke !
Kati hali kama hiyo mtu hategemei fuso kusomba watu utafiti wa nini!?
 
Back
Top Bottom