Redemption Songs by Bob Marley

Redemption Songs by Bob Marley

Daah mimi kwa kweli tukianzia kwenye chakula aisee nakula nyama, Mayai, Soda sili mboga za majani pekee kama wao... (lol utasema sijaiva)

Kwenye mavazi napenda sana mavazi ya asili ya kiafrika ingawa hua nachanganya pia, ndio ikaja jina la 'culture gal' walinipa watu sio mimi.
Nilikua na dread ila nilikuja kuzitoa sababu ya migrane 'kipanda uso' kinanitesa mpaka nimeamua kua team kunyoa.

Maisha kiujumla kama ambavyo imani ya kirasta inavyotuusia 'peace and love' basi mimi naishi hivyo, siwezi kugombana ila napenda sana haki yaani mnyama apewe haki yake, mtoto apewe haki yake, mwanamke apewe haki yake, mwanaume apewe haki yake. naamini kila mmoja akiishi katika misingi ya haki basi upendo utazalika na amani itapatikana.
asante saaana umetishaa
 
Daah mimi kwa kweli tukianzia kwenye chakula aisee nakula nyama, Mayai, Soda sili mboga za majani pekee kama wao... (lol utasema sijaiva)

Kwenye mavazi napenda sana mavazi ya asili ya kiafrika ingawa hua nachanganya pia, ndio ikaja jina la 'culture gal' walinipa watu sio mimi.
Nilikua na dread ila nilikuja kuzitoa sababu ya migrane 'kipanda uso' kinanitesa mpaka nimeamua kua team kunyoa.

Maisha kiujumla kama ambavyo imani ya kirasta inavyotuusia 'peace and love' basi mimi naishi hivyo, siwezi kugombana ila napenda sana haki yaani mnyama apewe haki yake, mtoto apewe haki yake, mwanamke apewe haki yake, mwanaume apewe haki yake. naamini kila mmoja akiishi katika misingi ya haki basi upendo utazalika na amani itapatikana.
Unasifa kama zangu! Nadhani tunaendana Kama sijachelewa itabidi nifanye mchakato wa kubahatisha kwako.😀😀
 
mi an ndo maisha nataka niyaishi ila ndo naanza anza bdo cna tips za kutosha ndo nataka nijifunze kwa wadau
an mm ctaki ile deep sana koz najua kuna zingine ctaweza ila kubwa nayoipenda n peace and love,
hua nawafatilia sana marastafari koz napenda wanavoishi cmpo an hawana complication
Mwaka juzi tulimzika kiongozi wa marasta Tanzania,

Ras Bupe, RIP Babu.

Angekua bado yupo hai ningeku connect nae, that oldman was so humbled hata Nyerere aliutambua mchango wake na alimpa ardhi ya kutosha huko Kigoma ili ajenge hekalu la kuabudia (African Religion) na mengineyo ila haikufanikiwa nadhani hata sapoti ya vijana kama sisi haikua kubwa.

Ni very rare kuwapata hawa pure Rastaman (he was a Jamaican) maana wengi waliojaa mjini ni akina Afande Sele hahaha.
 
Unasifa kama zangu! Nadhani tunaendana Kama sijachelewa itabidi nifanye mchakato wa kubahatisha kwako.😀😀
Hahahahahaha umechelewa vibaya mnoooo bad thing ndio Last born maana ningeweza kukupa hata mdogo wangu.
 
Poa sister nitashukuru sana.
"No Woman No Cry"

No, woman, no cry.
No, woman, no cry.
No, woman, no cry.
No, woman, no cry.

'Cause I remember when a we used to sit
In a government yard in Trenchtown,
Observing the hypocrites.
Yeah!
Mingle with the good people we meet.
Yeah!

Good friends we have. Oh.
Good friends we have lost along the way. Yeah!
In this great future you can't forget your past.
So dry your tears, I say.
Yeah.

No, woman, no cry.
No, woman, no cry. Eh, yeah!
A little darlin', don't shed no tears.
No, woman, no cry.

Said I remember when we used to sit
In the government yard in Trenchtown. Yeah.
And then Georgie would make the fire lights,
I say, log wood burnin' through the nights.
Yeah!

Then we would cook cornmeal porridge,
I say, of which I'll share with you.
Yeah!
My feet is my only carriage
And so I've got to push on through.

But while I'm gone,
Everything's gonna be all right!
Everything's gonna be all right!
Everything's gonna be all right, yeah!

So, no, woman, no cry.
No, woman, no cry.
I say, oh, little—oh, little darlin', don't shed no tears.
No, woman, no cry.

The meaning is simple ingawa watu wameamua kucomplicate wenyewe.

NO WOMAN, NUH CRY,
NUH kwenye kingereza cha kijamaica inamaanisha DON'T kwa hiyo the song ni NO WOMAN, DON'T CRY.

huu wimbo Bob alimuimbia mkewe Rita kutokana na zile hardtimes walizopitia wakati bado Bob ana hustle, waliishi kwenye nyumba ya serikali ambayo hua wanapewa maskini kuishi huko Kingston, Jamaica.
"Said i remember when we used to sit, in the government yard in Trenchtown"

Bob anaendelea kumwambia Rita kua anakumbuka kila kitu walivyoishi hata walivyokua wanapika cornmeal porridge na kushare pamoja, hiki ni chakula cha asili cha kijamaica.

Lakini ilibidi atoke akatafute na kumuacha mkewe kwenye majonzi.
"my feet is my only carriage, so i've got to push on through"

Ili baadae waje wafurahi maisha akisharejea.
"but while i'm gone, everything will be alright"

kuna sehemu ametajwa Georgie, huyu alikua bestfriend wa Bob.

kwa hiyo utaona kua wimbo haukua kama ambavyo wengi wameutafsiri simply alimuimbia mkewe na wanawake kiujumla na kuwapa moyo kua yote wanayopitia yataisha na kila kitu kitakua sawa.

kuna wengine wameitafsiri ile "No woman, No cry" kama eti hana mwanamke na hayupo sad au yupo okay. kama ile slogan ya "No money, No Honey"

Ila mashairi yapo wazi kabisa.
 
VERSE:

Old pirates, yes, they rob I,
Sold I to the merchant ships,
Minutes after they took I,
From the bottomless pit,
But my hand was made strong,
By the hand of the Almighty.
We forward in this generation
Triumphantly.

CHORUS:

Won't you help to sing
These songs of freedom?
'Cause all I ever have,
Redemption songs,
Redemption songs.

VERSE:

Emancipate yourselves from mental slavery,
None but ourselves can free our minds,
have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time.
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look? Ooh!
Some say it's just a part of it,
We've got to fulfill the book.

CHORUS:

Won't you help to sing
These songs of freedom?
'Cause all I ever have,
Redemption songs,
Redemption songs,
Redemption songs.

VERSE:

Emancipate yourselves from mental slavery, none but ourselves can free our mind.
have no fear for atomic energy,
'Cause none of them can stop the time'
How long shall they kill our prophets,
While we stand aside and look?
Yes, some say it's just a part of it,
We've got to fulfill the book.

CHORUS:

Won't you help to sing
These songs of freedom?
'Cause all I ever had,
Redemption songs
All I ever had,
Redemption songs,
These songs of freedom,
Songs of freedom.
Bless yah culture girl love yah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom