Dada mmoja mshabiki wa urembo alivaa vazi lenye rangi nyekundu na kutinga kwenye
red carpet ya redd's miss tanzania 2014.Akakutana na mtangazaji wa star tv na mahojiano yakaenda hivi:
MTANGAZAJI: Hilo vazi jekundu limekupendeza sana dada
MSHABIKI: Asante.
MTANGAZAJI: Hebu niambie, kwa nini umechagua hiyo rangi nyekundu leo?
MSHABIKI:Unajua mtangazaji, leo ni siku ya reds, yaani nyekundu tupu.Lazima niendane nayo kwa kuvaa nguo
nyekundu. Ni vizuri kwenda na wakati.
MTANGAZAJI:Asante sana enjoy the show!