October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,124
- 1,983
Wanyonge msiumie nyoyo zenyu. Huyu mtu hatutamuacha aingie kuzimu kwa amani.
Red Cross wasema lazima alipie. Yeye ajifiche awezavyo wala hiyo haimsaidii hehehee.
Yule jamaa wa Baharini. Mzee wa supu ya ngisi anapasha kiporo walahi. Mwambieni kama kufa Kila mtu atakufa asiogope mayii. Siku ikifika imefika.
Yeye alikatisha za wenzake asubili zamu yake. Asifikili mungu baba yake. Redcross wapo na wapo karibu yake kuliko adhanivyo.
Nye nye nye. Mwisho wa ubaya apewe tuzo. Hehehe. Vijana wetu kazi mnaifanya vizuri.
Huo ndio uzalendo. Mwaitumikia nchi sio mtu. Walahi mwanifurahisha. Na bado.