i wish ningekuona na hiko ki nguo chako cha kunywea wine, we are all very much aware of the fact kwamba una dhawadi ya kubarikiwa huko nyuma a.k.a teraπIts all about love.....!β£οΈ
Iko hivii....
Kuna mahala nilienda kwenye shughuli ya kiofisi, baada ya ziara kuisha tukatembezwa kwenye karakana kuona uzalishaji...
Muda ukawa umeisha tukiwa tunajiandaa kuondoka tukaulizwa kila mtu aseme anachotumia tunapewa zawadi. Mie nikasema naomba Red Sweet Wine...
Kiufupi sipendi vitu vichungu, basi nikafika nyumbani nikajiswafi tupiamo nyama nusu kilo kisha nikavaa kivazi cha kuishusha Red Sweet Wine.....!
Looh, haikuwa tamu kama nilivyotarajia... ina uchungu sasa nikasema hiyo sweet wanamaanisha nini...?!
View attachment 1952756
My favourate wine is Pear Bay Rose- Red Sweet Wine.
Nikiinywa ni tamu na kachupa kanaisha ndani ya wakati nikiwa nalisakata rhumba.
View attachment 1952758
My other favourates are Amarula, Alta na nyingine nimeisahau jina iko kwenye chupa ina hips za duara chini halafu juu mdomo mwembamba π.
Please wine manufacturers, if it doesnβt taste sugar donβt name it sweet.
Sugar is Love.
I love Sugar which is Love not the Cane Sugarπ .
Mahaba Matata....
Salted Eyes π.
ni tamu kama soda ? kuna mtu nimewahi kumnulia ila siku ijaribu
i wish ningekuona na hiko ki nguo chako cha kunywea wine, we are all very much aware of the fact kwamba una dhawadi ya kubarikiwa huko nyuma a.k.a teraπ
Hii iko sex km depal wa kwenye avatar [emoji39][emoji3059]View attachment 1952771
Napenda wine ya four cousins,!! Sweety! Sema huwa nazufia tu nikiwa na wwstatabu ila yangu serenget lite bard[emoji2957]
Kwahyo kwa miaka 20 umebadilika mpaka Rangi??halafu mbona Hizo kama stock photos?Aahahahahaaaa mmekosea, hakunanga trela wala semi tera...π
View attachment 1952776
Bi Kasinde miaka 20 iliyopita....!
View attachment 1952778
Bi Kasinde (kushoto) wiki mbili zilizopita.
Red Sweet Wine Siyo Kama Chimpumu Yaani Unywe Mpaka UangukeOoh asante kwa taarifa. Nikipita maeneo hayo ntachukua lita 20 zenye utamu π .
Yes.... Try it someday, hutojutia.ni tamu kama soda ? kuna mtu nimewahi kumnulia ila siku ijaribu