Oooh my god, John hagee was right, Jesus is coming, ref full blood moon, lord help us the clock is ticking
Matthew 22:29 Jesus answered and said to them, Ye do err, not knowing the scriptures, nor the power of God na Petro akaeleza hivi
2 Peter 1:20 Knowing this first, that no prophecy of the scripture is of any private interpretation.
Hao akina Kiranga na Nyani Ngabu ni watu wanaosoma maandiko kama gazeti ndio maana.
Kwa sababu Mungu hamuui mtu, lakini anamsubiri arudi na mara arudipo inakuwa ni furaha kubwa mbinguni, kwa hiyo bado anakupa nafasi katika maisha.Bora hata gazeti linaweza kukupa habari zinazoendelea duniani.
Maandiko yenu huku yanakwambia "haraka haraka haina baraka" huku yanakwambia "ngoja ngoja yaumiza matumbo".
Huku yanakwambia hakuna neema bila ya rehema ya mungu, huku yanaulaani mti mtini kwa kukosa kuzaa, kitu ambacho kinakuja kwa rehema ya mungu.
Don't get me started, I don't do it, I overdo it.
Matola mungu tulimpa masaa 24 animalize wiki ya tatu inaenda hii.
Hata mafua sijapata!
Kwa sababu Mungu hamuui mtu, lakini anamsubiri arudi na mara arudipo inakuwa ni furaha kubwa mbinguni, kwa hiyo bado anakupa nafasi katika maisha.
Kea nini kanopa nafasi na mimi sijamuomba?
Mimi sipendi kupews nafasi ambazo dojaziomba.
Kanikosea heshima.
ilitabiriwa hivi
Joel 2:31 The sun shall be turned into darkness, and the moon into blood, before the great and terrible day of the LORD shall come.
ilitabiriwa hivi
Joel 2:31 The sun shall be turned into darkness, and the moon into blood, before the great and terrible day of the LORD shall come.
Hivi kumbe mlifikia hatua ya kumpa Mungu masaa 24!!!!!?
Kwa sababu ANAKUPENDA.