achana na madini kama hujui.utakuja kulia kilioTafadhali wajasiriamali mwenye kujua hio product inapatikana wapi anujulishe.
Ni kweli mkuu hata huko kwetu kuna vitu vya aina hiyo (ni hatari sana kuifikia).Kuna kijiji kimoja naskia ipo lakini inalindwa na chatu pamoja na nyoka wengine wadogo wadogo
Uongo hakuna kitu kama hichoNi kweli mkuu hata huko kwetu kuna vitu vya aina hiyo (ni hatari sana kuifikia).
Serikali haina njaa sana kupigana na manyoka porini mkuuUongo hakuna kitu kama hicho
Yani serikali miaka yote wasiyachukue hayo madini au mbinu yeyote ile kuyapata
Wote walioenda huko wamelia kwa kutapeliwa ,kupoteza muda na pesa/gharama kibao
Uko sahihi, hii ni sawa na kusaka rupia hutakaa uipateAchana na hiyo kitu
1.utapoteza muda
2.utatapeliwa
3.,utalia kwa kupoteza muda na pesa kwa kiwango kikubwa
Hakuna red mercury.. Full stop
Ushauri wangu potezea ,