Fomu ya kuripoti tuhuma za kiongozi wa umma

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Kama una tuhuma za uhakika mbaya za kiongozi wa umma waweza ripoti hapo

Report

au jaza hiyo fomu wapelekee tume ya maadili ya viongozi wa umma

http://www.ethicssecretariat.go.tz/news_files/file_26.pdf na uitume

MAKAO MAKUU

OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
Makao Makuu,
Mtaa wa Ohio,
S.L.P 13341
Dar Es Salaam
Simu: +255 22211810/11 2136422
Nukushi: +255 22 2119217
Barua Pepe: secretariat@ethics.go.tz



OFISI ZA KANDA

KANDA YA KASKAZINI:

(Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro)

Audit House Mtaa Wa Kware/Sakina

S.L.P 3174 Arusha

Simu: +255 272544534

Nukushi: +255 272544780

Barua Pepe:arusha@ethicssecretariat.go.tz



KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI:

(Mikoa ya Mbeya, Iringa, Njombe, Katavi na Rukwa)

Jengo la NBC,

Barabara ya karume,Mbeya

S.L.P 6311 Mbeya

Simu: +255 252502714

Nukushi: 025 2502724

Barua Pepe:mbeya@ethicssecretariat.go.tz



KANDA YA KATI:

(Mikoa ya Dodoma na Singida)

Jengo la Mfuko wa hifadhi ya jamii,(NSSF)

Dodoma,Mtaa wa askari,

S.L.P 1887 Dodoma

Simu: +255 262321059

Nukushi: 2323838

Barua Pepe:dodoma@ethicssecretariat.go.tz



KANDA YA ZIWA:

(Mikoa ya Kagera, Mara, Geita na Mwanza)

Jengo la Mfuko wa hifadhi ya jamii,(NSSF)

mwanza, Mtaa wa kenyatta,

S.L.P 1473 Mwanza

Simu/nukushi: +255 282505005

Barua Pepe:mwanza@ethicssecretariat.go.tz



KANDA YAKUSINI:

(Mikoa ya Lindi,Mtwara na Ruvuma)

Jengo la mkuu wa mkoa

S.L.P 218 mtwara

Simu/nukushi: +255 232333963

Barua Pepe:mtwara@ethicssecretariat.go.tz



KANDA YA MAGHARIBI:

(Mikoa ya Tabora, Kigoma, Simiyu na Shinyanga)

Jengo la Mfuko wa hifadhi ya jamii, (NSSF)

Tabora, Mtaa wa Jamhuri,

S.L.P 1126 Tabora

Simu/nukushi: +255 2605323

Barua Pepe:tabora@ethicssecretariat.go.tz
 
Aisee maajabu aka usanii katika nchi hii hautakwisha. Katika fomu hiyo ya malalamiko kuandika jina ni hiari nafikiri kwasababu ya anonymity. Usanii ni hapa ambapo huyo mtu anayataka awe anonymous anapoambia aandika anunani yake, namba ya simu yake, anuani ya barua pepe, nukushi, mahali anapoishi.

Kama unataka information hizo zote kulikuwa na haja gani ya kutoa option ya jina kuwa hiari? Halafu hii fomu imeipitiwa "think tank" wa wizara na kupitishwa!

Only possible in Tanzania
 
Back
Top Bottom