Red Carpet KTMA 2015

Red Carpet KTMA 2015

sugu alikuwa na kazi sana kuishi na huyu mama. najua sugu alipasua kichwa sana kwa huyo sholi aisee. sipati picha ndo mwandani wako mnaishi pamoja, ni aibu. sema yeye mwenyewe wakati anahojiwa alisema alikutana na sugu kwenye facebook wakaenda kukutania tena club. hivyo ni mtu wa mazingira hayo ya club na facebook. anahitaji msaada mkubwa sana wa kimawazo na nafikiri sugu kwasababu ni mzazi mwenzie, amkalishe, ampe mtaji mkubwa tu kwani sugu ana hela, amtafutie kazi ya heshima ya kufanya ili asiendelee kumuaibisha kwani kwa haya yote anayofanya aibu anapata sugu na ninaamini hii itamuathiri sana sugu kwenye uchaguzi ujao kwani watu watasema sugu alikuwa na mke kama huyu? alikosa wa kuchagua?
 
Huyu dada kila napopita nakutana na picha zake.matako yenyewe kama taa za baiskeli .kajiaibisha sanaa.

Mpaka inafurahisha jinsi hayo mat**o yalivyofananishwa na kila aina ya vifaa hapa duniani: wewe taa za baiskeli, mwengine kalimati zilizokosa mafuta (ongezeeni sifa nyengine...)
 
Wewe Hute pamoja na kumtetea huyo muheshimiwa lakini wahenga walishasema 'birds of same feather flock together', yaani wamekutana kwenye facebook, kilabuni..... what do you expect?
 
Back
Top Bottom