Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
mbona mnazifunga akili zenu kiasi hicho? Kwani kuwa na jina sawa na kikundi kingine ni lazima watende yale yanayotendwa na hicho kikundi kingine? Hebu tuambie kama kuna mtu ambaye ni jambazi, muuaji na anaitwa "john" je kila atakayempa mwanae jina la john huyo mtoto atakuwa atakuwa jambazi na muuaji kama alivyo john wa awali?
Mfano hauendani kabisa