Red Brigade iitwe Red Guards

Red Brigade iitwe Red Guards

Why boasteth thyself
Oh, evil men
Playing smart
And not being clever?
I said, you're working iniquity
To achieve vanity (if a-so a-so)
But the goodness of Jah, Jah
I-dureth for-I-ver
So if you are the big tree
We are the small axe
Ready to cut you down (well sharp)
To cut you down
These are the words
Of my master, keep on tellin' me
No weak heart
Shall prosper
And whosoever diggeth a pit
Shall fall in it, fall in it
And whosoever diggeth a pit
Shall fall in it (... fall in it)
If you are the big tree, let me tell
you that
We are the small axe, sharp and
ready
Ready to cut you down (well sharp)
To cut you down
(To cut you down)
(To cut you down)
These are the words
Of my master, tellin' me that
No weak heart
Shall prosper
And whosoever diggeth a pit
Shall fall in it, uh, bury in it
And whosoever diggeth a pit
Shall bury in it, uh (... bury in it)
If you are the big, big tree
We are the small axe
Ready to cut you down (well sharp)
To cut you down
If you are the big, big tree, let me
tell you that
We are the small axe
Ready to cut you down (well sharp)
To cut you down
Sharpened ...

"Small Axe" Bob. Asante Mkuu.
Mungu wetu yu tayari kutupigania. Anaita sasa!
 
Red Brigade ili anzishwa Italy kama kikundi cha Kimafia ni sawa Chadema wangesema wana anzisha kikundi cha Ulinzi kina itwa TALIBAN au Al-Qaida nani ange elewa!??? Ni bora neno Brigade liondolewe,lakini siku zote nauliza ni nani alileta jina hilo Chadema? Na hao kamati kuu hawa kuangalia hata kwenye internet????
 
Hivi kwa nini hawataki kuzungumzia Green Guard na Blue guard?
 
jina lolote lile, lazima hicho kikundi kitasambaratishwa na JWTZ. hii ni kutokana na malengo aliyoyataja mbowe juzi. ni kikundi hatari sana! leo mbowe kajamba pale central alipo banwa kuhusu red brigade. ccm na cuf vikundi vyao ni vya ulinzi wa kawaida. red brgd malengo yake ni vikundi vya kivita na mauaji. mbowe aswekwe ndani. tumechoka

mijinga mijinga mingine bwana sijui hili nalo la wapi
 
If that is the case then, moja wa objectives ya kuimarisha Red guards iwe ni kufundisha ujasiriamali. Tuone magamba watakuja na lipi. Lakini utafundishaje watu ujasiriamali wakati huna mkakati wala mpango wowote wa kuwapa mtaji? Sijawahi kusikia wala kuona CCM ikikopesha kikundi chochote cha ujasiriamali, si vijana si akina mama. Labda kama ulinzi wa chama ndiyo ujasiriamali wenyewe.
 
jina lolote lile, lazima hicho kikundi kitasambaratishwa na JWTZ. hii ni kutokana na malengo aliyoyataja mbowe juzi. ni kikundi hatari sana! leo mbowe kajamba pale central alipo banwa kuhusu red brigade. ccm na cuf vikundi vyao ni vya ulinzi wa kawaida. red brgd malengo yake ni vikundi vya kivita na mauaji. mbowe aswekwe ndani. tumechoka
Ungeweza kutumia maneno ya kawaida tu na ungeeleweka. Tatizo CCM mnaogopa mpaka na kivuli chenu! Unasema hicho kikundi ni cha kivita hebu tuambie kimeshiriki vita lini na wapi? Unasema ni kikundi cha mauaji --- kimemuua nani? Viongozi wanatoa maagizo kwa polisi kuwa watu wapigwe tu... unadhani nani atakaa tu akiangalia anapigwa tu? Siasa imewashinda mnaanza kutafuta pa kutokea. Mnajivunia polisi eti Mbowe aswekwe ndani. Unadhani rumande ni kwa ajili ya kusweka tu ndani watu bila kufuata sheria? No wonder kila leo mnaaibika mahakamani na vikesi vyenu vya kutengeneza!
 
Dada yangu white ebu ingia google uisome kwanza red brigade ni nini na ilikua inafanya nini??? Hivi haiwezekani kuitwa Red Guards???
 
Then tukiite nacho ni kikundi cha ujasiriamali kinachotumia silaha ktk shughuli zake za ujasirismali kama Green Guard wanavyofanya
 
dada yangu white ebu ingia google uisome kwanza red brigade ni nini na ilikua inafanya nini??? Hivi haiwezekani kuitwa red guards???

mbona mnazifunga akili zenu kiasi hicho? Kwani kuwa na jina sawa na kikundi kingine ni lazima watende yale yanayotendwa na hicho kikundi kingine? Hebu tuambie kama kuna mtu ambaye ni jambazi, muuaji na anaitwa "john" je kila atakayempa mwanae jina la john huyo mtoto atakuwa atakuwa jambazi na muuaji kama alivyo john wa awali?
 
muasisi wa jina la red brigade dr slaa atakubali? Kule italy walikomchagulia jina hilo atawaambiaje? Dogo usiwe unakurupuka kuingilia mambo ya wakubwa! Ohoooo

mwigulu upo mkuu!
 
mimi sijadili kama ccm. najadili kama mtanzania mwenye haki ya kuishi kwa amani. kila sehemu chdm wanapotia mguu ni vifo tu. kimeanza kuonekana kama chama cha kigaidi. kuna vikundi vya ulinzi visivyo tokana na vyama vya siasa hivyo vinaruhusiwa. vile vya vyama vya siasa vipigwe marufuku. Tanzania kwanza, siasa baadaye

mimi naona tuanze na green gaurd
 
mbona mnazifunga akili zenu kiasi hicho? Kwani kuwa na jina sawa na kikundi kingine ni lazima watende yale yanayotendwa na hicho kikundi kingine? Hebu tuambie kama kuna mtu ambaye ni jambazi, muuaji na anaitwa "john" je kila atakayempa mwanae jina la john huyo mtoto atakuwa atakuwa jambazi na muuaji kama alivyo john wa awali?
Well said mwaJ. Hawa wenzetu wanachanganyikiwa sana na hilo jina la red brigade, nafikiri ndiyo maana mleta maada ameona ili wasiendelee kuchanganyikiwa basi bora kikundi kiitwe red guards, jina lifanane na jina la kundi lao. Labda kutoka hapo Tendwa na wafuasi wake watatulia. Lakini inashangaza sana kwamba watu wenye akili timamu wameacha kufuatilia malengo ya hicho kikundi wapo busy kulijadili jina. Tendwa ameacha kufanyia kazi malalamiko ya muda mrefu ya CHADEMA dhidi ya green guard, badala yake yupo busy kushughulika red brigade ambayo si kwamba inaenda kuanzishwa, bali inakwenda kuimarishwa. Na hakuna popote CHADEMA imesema itakiimarisha hiki kikundi kwa kukipa silaha. Sasa hofu ni ya nini? Huku nako ni kutapatapa kwa mfa maji.
 
Last edited by a moderator:

Hawana lolote wako busy kutafuta justification ya kuifuta CHADEMA!
 
Hakuna kubadili jina jina ni hilo hilo na wakichomoa nashauri chadema ichukue vijana waliotoka jkt iwaajili kw akazi hiyo hiyo ya ulinzi wa chama kama ni mbuai mbuai tu tumeshachoka sisi
 
Mimi naona hizi mambo za kuwa na green guards, blue guards mara red brigade hazifai kabisaa. Katiba mpya ingeliangalia hili kwa jicho la tatu!
 
Baada ya tamko la Tendwa kuhusu CHADEMA, nimefikiria mambo mengi sana. Lakini kubwa kubwa kuliko yote ni kwamba hawa wenzetu, wakiwemo polisi, rais, Mwigulu, viongozi wengine wa CCM pamoja na Tendwa mwenyewe wanachanganyikiwa na hili jina la Red Brigade.
Basi CHADEMA nao wabadilishe jina la kikundi chao na kukiita red guards. Labda kinachowasumbua hawa wakubwa ni jina hilo la red brigade.
Lakini mwisho naweza kusema, kama Tendwa angekuwa ni mtu mwenye busara ya kutosha basi badala ya kutoa tamko kama hili ambalo linamdhalilisha, basi angewaita viongozi wote wa vyama vya siasa na kujadiliana nao kuhusiana na suala zima la ulinzi wa vyama vyao. Tendwa anajua kabisa kwamba wakati wa uchaguzi kule Igunga Kada wa CHADEMA aliuwa na green guard. Kwnini hakutishia kuifuta CCM?

Kumekuwa na matukio mengine mengi yenye mashaka ambayo CHADEMA wameyapigia kelele, yakiwemo makambi ya mafunzo ya green guards, lakini Tendwa hakuwahi hata kuyakemea. Lakini hili la CHADEMA anaibuka na kauli nzito. Hii ina maana gani? Kwanini anafanya kazi kwa double standards za namna hiyo?

KUNA HAJA YA CHADEMA KUFIKIRIA KUBADILI JINA LA KIKUNDI CHAKE LABDA JINA NDIYO LINALOMCHANGANYA TENDWA NA VIONGOZI WENGINE WA SERIKALI.

Utakuwaumesoma headline wala hujasoma content yote...!

ANGALIA MANENO HAYA:
1. Labda kinachowasumbua;
2. kama Tendwa angekuwa ni mtu mwenye busara ya kutosha;
3. Tendwa anajua kabisa;
4. LABDA JINA NDIYO LINALOMCHANGANYA TENDWA NA VIONGOZI WENGINE WA SERIKALI.
MpigaKelele, Wengine hatukimbilii kuposti kitu.
Tunapata muda wa kusoma na kuelewa hata maneno yaliyotumika. Angalia maandishi yenye RED utajua ulisoma ukadhani umeelewa kumbe umepitia jujuu tu!..
Kafyulilo ametoa maoni yake akijua wanaomtisha mpaka apate nidhamu ya woga kubadili jina la RED BRIGADE hawana busara, wanajua ukweli (ila wanafanya propaganda), hivyo ni wanafiki na wahuni.
HUWEZI BADILI JINA KUKWEPA PROPAGANDA!... Mkipewa chama kukiongoza mtakosa msimamo!!!!....... Una swali uliza tuelimishane.
 
Lakini inashangaza sana kwamba watu wenye akili timamu wameacha kufuatilia malengo ya hicho kikundi wapo busy kulijadili jina. Tendwa ameacha kufanyia kazi malalamiko ya muda mrefu ya CHADEMA dhidi ya green guard, badala yake yupo busy kushughulika red brigade ambayo si kwamba inaenda kuanzishwa, bali inakwenda kuimarishwa.

Haya hayafanywi kwa bahati mbaya!.. Ni makusudi. Tendwa ni MWANA CCM na tena anatumikia CCM.. Si kweli kwamba haelewi malalamiko ya CHADEMA.
 
Back
Top Bottom