Lady Unbreakable
Member
- Feb 20, 2013
- 33
- 5
CV yako umeiandika vizuri na umesomea hasa nini??
asante ndugu yangu, shida tuukazi sana kupata kazi,poleni wandugu!!!!!!!!!!
ahhh, tuendelee hivo hivo ila haya maagency me basiiimie mwenyewe nshakata tamaa ht kuwapelekea hao wa2 tena!.
mlio na kazi jishikieni hapo hapo. sie tunaotafuta tunaona ugumu wake huku nje
mbona naona kama these agencies are not helpful jamani, mtu unasambaza CV kote ila none of them hata kuita kwenye interview does it mean mimi sina kigezo hata kimoja katika hizo kazi wanazoletewa au ni nini? yaani sijui maana ya kusoma sasa,ukiwa fresh graduate bila expirience you are in trouble. tunafundisha nini wadogo zetu na hii hali.:angry:
nimsoma computer science na CV am 100% sure nimeandika vizuri na kwa msaada wa some people I know wanaiterview watu, so I believe its perfect written
Wa kuilaumu ni Serikali yako na wala sio hizo agencies.mbona naona kama these agencies are not helpful jamani, mtu unasambaza CV kote ila none of them hata kuita kwenye interview does it mean mimi sina kigezo hata kimoja katika hizo kazi wanazoletewa au ni nini? yaani sijui maana ya kusoma sasa,ukiwa fresh graduate bila expirience you are in trouble. tunafundisha nini wadogo zetu na hii hali.:angry: