Isayalussy11
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 695
- 1,058
Nimekupa Facts unasema mahaba! HAALAND si anastahili Best Player .Mbona CL Best player of the season amepewa RODRI na sio yeye ??. Uliiona performance ya HAALAND kwenye Semi or Final ya UEFA au hata FA final? Haaland game yake ime rely sana kwenye Magoli asiposhinda haonekani. Big stages za Michuano CL kashindwa Kupeform.Licha ya Magoli yake ya CL,Haaland ame shine sana EPL ,magoli yake mengi ni ya EPL ndio maana EPL amepewa Best player. Messi Best player tornament ya WC mzee na amebeba WC tambua hilo.kinachokuteseni wengi wenu ni mahaba, Messi katika miezi sita iliopita hata goli tano ameshindwa kufikisha.
Nahapa hapa huruma ya umri hata yeye alipokua ealry 20's alishindana na watu wa 30's. hakuna kipengele cha huruma wa umri kwenye ushindani
acha mihemko ndugu
Nimekupa Facts unasema mahaba! HAALAND si anastahili Best Player .Mbona CL Best player of the season amepewa RODRI na sio yeye ??. Uliiona performance ya HAALAND kwenye Semi or Final ya UEFA au hata FA final? Haaland game yake ime rely sana kwenye Magoli asiposhinda haonekani. Big stages za Michuano CL kashindwa Kupeform.Licha ya Magoli yake ya CL,Haaland ame shine sana EPL ,magoli yake mengi ni ya EPL ndio maana EPL amepewa Best player. Messi Best player tornament ya WC mzee na amebeba WC tambua hilo.
Mkuu Sema UCL na sio Club, Messi ana 16 goal na 16 assist ligue 1, ni yeye na Griezmann kwenye Top 5 league wenye Assist na Magoli zaidi ya 15. Kwanini unahisi ana msimu mbaya kwenye Club?kwanini unakua unajifanya mgumu kuelewa?
Ronaldo alifanya vizuri UCL ila alivurunda kwenye world cup. Modric alifanya vizuri mote muwili ndicho kilichomfanya akawa bora zaidi yake.
Messi amefanya vyema world cup, Ila kwenye club season hamna kitu. Champion league knockout stage hata goli moja hana, kaishia kufunga funga Ligue One na hata huko hata akina Lagazetti wamempa hali ngumu. Ligue one haiwezi kuwa kigezo cha mafanikio katika Cub Season Europe.
Nimekupa Facts unasema mahaba! HAALAND si anastahili Best Player .Mbona CL Best player of the season amepewa RODRI na sio yeye ??. Uliiona performance ya HAALAND kwenye Semi or Final ya UEFA au hata FA final? Haaland game yake ime rely sana kwenye Magoli asiposhinda haonekani. Big stages za Michuano CL kashindwa Kupeform.Licha ya Magoli yake ya CL,Haaland ame shine sana EPL ,magoli yake mengi ni ya EPL ndio maana EPL amepewa Best player. Messi Best player tornament ya WC mzee na amebeba WC tambua hilo.
Naona hujanisoma vizuri!.Hakuwa na Influence in Big stages in CL ndio nilicho maanisha, hakuwa engine ya team kutwaa CL ,ndio maana tuzo amepewa RODRI. Best player of the season mwaka Jana CL alipewa BENZEMA nadhani unajua alichokifanya kwa Madrid.aisee! mtu ana goli 50+ kwenye msimu bado unasema hakuwa na influence kwenye mechi za timu? Ndio mana nikasema knachokuteseni ni mahaba yaliopitiliza kwa wapenzi wenu.
Halland amebeba treble na pia amefunga 50+ goals na wewe pia utambue hilo. Vijana mpo bzy kuzitafuta mechi ambazo halland hakunga'ara [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi Messi alikuwa wapi katika zile mechi mbili za round ya 16 za Bayern?
Haaland anafaa kwa vigezo vipi?? Tuanzie hapa
Naona hujanisoma vizuri!.Hakuwa na Influence in Big stages in CL ndio nilicho maanisha, hakuwa engine ya team kutwaa CL ,ndio maana tuzo amepewa RODRI. Best player of the season mwaka Jana CL alipewa BENZEMA nadhani unajua alichokifanya kwa Madrid.
Kama unataka STATS za Magoli basi MESSI angekuchukua 2018 dhidi ya MODRIC na RONALDO.SUAREZ angechukua 2016 zidi ya RONALDO.Hakuna kombe Kubwa kuliko WC mzee ,CL ni kombe la kawaida tu mbele ya WC.Halland amebeba treble na pia amefunga 50+ goals na wewe pia utambue hilo. Vijana mpo bzy kuzitafuta mechi ambazo halland hakunga'ara [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi Messi alikuwa wapi katika zile mechi mbili za round ya 16 za Bayern?
FIFA the best 2022 ameshapewa MESSI. mwaka huu 2023 atapewa HAALAND.Baloon dior atapewa Halaand ila fifa best atapewa messi. Nipo nimekaaa hapa
Mkuu Sema UCL na sio Club, Messi ana 16 goal na 16 assist ligue 1, ni yeye na Griezmann kwenye Top 5 league wenye Assist na Magoli zaidi ya 15. Kwanini unahisi ana msimu mbaya kwenye Club?
Kama unataka STATS za Magoli basi MESSI angekuchukua 2018 dhidi ya MODRIC na RONALDO.SUAREZ angechukua 2016 zidi ya RONALDO.Hakuna kombe Kubwa kuliko WC mzee ,CL ni kombe la kawaida tu mbele ya WC. View attachment 2658516
treble winner
50+ goals kwenye msimu
Champion League Top scorer
EPL Top Scorer
European Golden Shoe winner
Top goal scorer Europe of the Season.
EPL Player of the Season
QF na Bayern ile ya 1:1 MOTM alikuwa KDBBig stage zipi unazozitaka? zile goli tano mechi ya Leipzig ilikua ni stage ndogo?
Zile mechi mbili za Buyern Munich robo final nayo ilikua ni stage ndogo?
Kama ni hivo why asipewe Alvarez ambaye ana
1. Worlcup
2. Uefa
3. Epl
4. FA
????
QF na Bayern ile ya 1:1 MOTM alikuwa KDB
Second leg 3:0 ,MOTM alikuwa RUBEN DIAS. Kwa nini hakupewa Haaland kama alikuwa na mchango mkubwa??
Fuatilia games za Argentina WC ,karibu mechi zote Messi alikuwa anakuwa MOTM ndio maana akapewa Best player!.
tatizo lake ni kuwa ukiacha world cup, hayo mengine yote hakuwa key player kwenye timu yake.
Kumbe issue ni kuwa na taji OK sawa!.Messi alibeba taji gani 2018?
Messi alikuwa Champion league Top Score 2018?