Choo ni lazima kisafishweWanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa.
Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki kuna haja ya kuorodhoresha waliotukanwa na matusi waliyotakanwa, tuweze kutendea haki justification zao. Kujitoa chama ulichokipigania ujana wako wote kwa nguvu na mali sio kitu kidogo so tuone matusi yanayoweza kufanya mtu mzee kama Kigaila akaacha chama yatakua ni makubwa na mapya kiasi gani ambayo hajawahi kutukanwa maisha yake yote aliyoishi ya nusu karne.
Mimi binafsi sijasikia wala kuona hayo matusi iwe kwenye maandishi, clips wala voice, wanayotukanwa hawa watanzania wenzetu. Kwa heshima na taadhima wanabodi mliosikia au kuona hebu wekeni hapa tuyaone katika aina yoyote ya media, sauti, picha, screenshot, video clips etc., tujiridhishe na kupima
Vinginevyo ibaki tu ni mkono wa kaka abdu.l unavua watu uchi na utu wao kama tulivyodokezwa hapo nyuma kwamba kuna uvunaji wa fweza toka kwa huyu kijana kusambaratisha hiki chama tishio kwa mama yetu.
For the benefits of doubts nawakilisha...
Worse still, mitaani kuna minong'ono baadhi yao wana mahusyano ya karibu na wale makovid. Ati kuwa wanashindwa kuuma mkono unaowalisha - na eti hayo mahusiano yana utamu wake, ati ukweli mchungu ...nk. Jamani umbea ....duh!Wanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa.
Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki kuna haja ya kuorodhoresha waliotukanwa na matusi waliyotakanwa, tuweze kutendea haki justification zao. Kujitoa chama ulichokipigania ujana wako wote kwa nguvu na mali sio kitu kidogo so tuone matusi yanayoweza kufanya mtu mzee kama Kigaila akaacha chama yatakua ni makubwa na mapya kiasi gani ambayo hajawahi kutukanwa maisha yake yote aliyoishi ya nusu karne.
Mimi binafsi sijasikia wala kuona hayo matusi iwe kwenye maandishi, clips wala voice, wanayotukanwa hawa watanzania wenzetu. Kwa heshima na taadhima wanabodi mliosikia au kuona hebu wekeni hapa tuyaone katika aina yoyote ya media, sauti, picha, screenshot, video clips etc., tujiridhishe na kupima
Vinginevyo ibaki tu ni mkono wa kaka abdu.l unavua watu uchi na utu wao kama tulivyodokezwa hapo nyuma kwamba kuna uvunaji wa fweza toka kwa huyu kijana kusambaratisha hiki chama tishio kwa mama yetu.
For the benefits of doubts nawakilisha...
Hebu ona mkuu jinsi wanavyo umbuliwa kwa kauli zao wenyewe mchana kweupe.Wapuuzwe hao
Wanatukanwa kwa sababu ya usaliti na undumilakuwili wao. Wajinga sana.Wanabodi tumeona watu wanajitoa Chadema siku za karibuni na wote wamekua wanatoa sababu kubwa 3, moja kwamba walimuunga mkono Mheshimiwa F. A. Mbowe, mbili wanabaguliwa so wanaenda kusiko na ubaguzi na tatu wametukanwa/wanatukanwa.
Sisi kama wanajamii kwa kuweka kumbukumbu sawa na kutenda haki kuna haja ya kuorodhoresha waliotukanwa na matusi waliyotakanwa, tuweze kutendea haki justification zao. Kujitoa chama ulichokipigania ujana wako wote kwa nguvu na mali sio kitu kidogo so tuone matusi yanayoweza kufanya mtu mzee kama Kigaila akaacha chama yatakua ni makubwa na mapya kiasi gani ambayo hajawahi kutukanwa maisha yake yote aliyoishi ya nusu karne.
Mimi binafsi sijasikia wala kuona hayo matusi iwe kwenye maandishi, clips wala voice, wanayotukanwa hawa watanzania wenzetu. Kwa heshima na taadhima wanabodi mliosikia au kuona hebu wekeni hapa tuyaone katika aina yoyote ya media, sauti, picha, screenshot, video clips etc., tujiridhishe na kupima
Vinginevyo ibaki tu ni mkono wa kaka abdu.l unavua watu uchi na utu wao kama tulivyodokezwa hapo nyuma kwamba kuna uvunaji wa fweza toka kwa huyu kijana kusambaratisha hiki chama tishio kwa mama yetu.
For the benefits of doubts nawakilisha...
Chief Odemba kaamua kutumia VARHebu ona mkuu jinsi wanavyo umbuliwa kwa kauli zao wenyewe mchana kweupe.
View attachment 3331441
Shikamoo technolojiaHebu ona mkuu jinsi wanavyo umbuliwa kwa kauli zao wenyewe mchana kweupe.
View attachment 3331441
Hebu mkuu niambie, hapo ukimwita mjinga utakuwa umemtukana? Hapana, hiyo itakuwa sifa kwakeChief Odemba kaamua kutumia VAR