safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,194
Hivi mkuu kule kwenye website yake malipo yake yapoje dr najeeb ?Mimi binafsi nimenufaika sana na recorded lectures za Dr Najeeb hasa kwenye Physiology, Pathology, Biochemistry na Pharmacology kiasi
Hii ni system nzuri sana ingawa nakubaliana na wewe kuwa haiwezi kuwa substitute ya the real class lecture
Naenjoy sana kumsikiliza amenisaidia sana jamaa.
Au naweza kupata video zake zOte youtube ?