receptionist wa equity bank

receptionist wa equity bank

aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kupenda bana.unamtamani wewe
 
Tuwa alisababisha mimi na jamaa zangu fulani tupigwe na bumbuwazi baada ya kubaini kuwa ukiwa kwenye mataa kama unaenda bibi titi(just before) ile njia ya kwenda movenpick* serena, lile jengo unalotazamana nalo pale mataa kuna neno;
'The RickShaw'.

Siku natoka kusoma hadithi halafu nikaenda town nilitaka kugeuza pale maana niliogopa mno.

Tuwa anatisha aisee.

Nikipita kule posta ya zamani kwenye masanduku ya posta, nakuwa nina wasiwasi na yule dada mwenye ninja aliyempiga Tigga bonge la kabali*(si kabali ila kama ngumi) ya shingo na kuchukua kile kifurushi.

Tuwa anatisha aisee.
yah,jamaa mkali!!anaelezea sehemu ambazo zipo kabisa tena maeneo ambayo tunayafahamu!
 
Mkuu asante sana kwa taarifa. Ngoja nifanye mchakato. Jamaa angefungua hata account twitter tumfollow. Mimi nitajitolea kusambaza nakala na kumarket hadithi zake sababu kwa jinsi alivyo mtunzi mahiri, ningependa wengine wafurahie pia.
huko nilipokuelekeza nae ni admin,so unaweza kumu inbox au kuchati nae ukampa mawazo mbalimbali,anastahili,mkali sana
 
Weka picha yake hapa wote tupate fahari ya macho kama ulivyopata wewe.
HIVI UNAFIKIRI WATUMIAAJI WA JF WAPO TU DAR?!
 
kwa sisi tuliopo mikoan 2naotaka kuja kumuona tukifika dar 2pande magar ya wapi
 
si kwa ubaya

kama umewahi kutembelea benki ya equity tawi la golden jubilee
basi bila shaka utakuwa umewahi kukutana na angel like face ya binti mmoja hivi kwa muonekano kama half cast ivi

kila nikimwangalia huyu dada natamani niendelee kumwangalia hamu haiishi
kwa kweli shes food to my eyes

nywele sio ndefu kivile licha ya uchotara wake (am not sure kma ni chotara)

kwa kweli huyo receptionist she is killing me softly

najua mtaniona domo zege eti kisa sijamwambia feelings zangu
sio kila tunda linaliwa mengine ya mti wa kati ukila hakika utakufa

kwa jinsi alivyo nikolea nimesha mpiga picha bila yeye kujijua naingaliaga usiku

kinachonifanya nisim-mwagie sera ni huo uzuri wake naogopa asije nasa anipe pressure me bado mdogo

mwisho nadedicate wimbo wa pusha by lloyd ft lil wayne maalum kabisa kwake
nite nite JF



Vipi haujaota nywele kwenye viganja vyako mpaka hivi sasa? Wanasema ukipiga sana nyeto unaota nywele viganjani, vipi kuna dalili zozote za kushevu viganja?
 
Back
Top Bottom