PM PM ntakwambia
Hapa hapa PM kufanyaje tena,wakat habar nimeipata hapa!!!!!
swali lako lilikuwa nje ya madaa
Hehehhehe...ahahahha...... ndio maana naogopaga kuomba chemba na wadada wa humu.....hahahha.....du.
My sweet doctor,who wanted to examine me.........,then he vanish .......and left an empty
hole without being examined...........
buku????
Your thinking is so cheap
bila shaka mshahara wako ni laki 2.5
Namjua huu binti kikweli nilifungua ac hapo equity kwaahili yake kwakweli she is cute jamani.
Hussein Hassan Tuwa, hadithi zako nazikumbuka mpaka kesho!Nenda Stanbic tawi la Kinondoni(ile njia ya kwenda kinondoni) kuna Bank Teller mmoja mweupe hizi mzuri. Ana tabasamu zuri na sauti nzuri mno. Kila siku nikiwa kwenye mstari pale natamani niende anihudumie ila nakuta inabidi niende kwa ile midume mingine daah!!
Who's cheap btn you n me!?Mshahara wangu unaniwezesha kumchukua huyo demu unayemuona wa maana bila kuja kulialia jf.Utakuwa umetoka kijijini wewe.Hujaona,wazuri bado...wa kwanza kukutana nae aliyepaka poda akakufanya uombe kazi ya usafi hapo benki.Ni-PM namba yako nikupe tour ya mjini!!
Hussein Hassan Tuwa, hadithi zako nazikumbuka mpaka kesho!
njoo face book,Tuwa kaanzisha kona ya riwaya!tafuta kona ya riwaya,kuna mafundi wa hadithi huko wanakimbiza mbaya!tigga mumba,aliteseka sana
Hussein Hassan Tuwa, hadithi zako nazikumbuka mpaka kesho!
njoo face book,Tuwa kaanzisha kona ya riwaya!tafuta kona ya riwaya,kuna mafundi wa hadithi huko wanakimbiza mbaya!tigga mumba,aliteseka sana
sisi
mko wangapi?
Mkuu bila shaka ndiyo hiyo aliyoweka kwenye avatar, maana ni nadra sana kukuta kidume kaweka avatar kama hiyo.weka picha mkuu
MtuhumiwaHussein Hassan Tuwa, hadithi zako nazikumbuka mpaka kesho!
njoo face book,Tuwa kaanzisha kona ya riwaya!tafuta kona ya riwaya,kuna mafundi wa hadithi huko wanakimbiza mbaya!tigga mumba,aliteseka sana